Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Which Is Which?
Why?
Rambirambi wakajengee mnara?
Vi woooonder
Lakini ni bora wametuambia kabisa ili tujue na hata tykichanga tunajua kabisa tunachangia Rambi rambi, Ukuta na Mnara,
Kuliko wangekuja kutushtukiza baada ya Kuchanga
 
Hawa nao mara nyingine hawajiongezi,
Kazi kushiriki kwenye chaguzi ambazo wanajua hawashindi.
Watakuambia wasingetambulishwa lakini Sisi raia tunataka kuona utu wenu
Otherwise watuambie walikuwepo lakini hawakupiga picha
 
Wanachama au wapiga kura wa CDM ndio wana msiba huu, wana Ukerewe. Wanachohitaji ni faraja na sio mchango wa pesa wa CDM. Kulikuwa kuna uzito gani hata viongozi wa kanda tu kutoka Mwanza kwenda kushirika na kuwatia faraja wana Ukerewe? Kina Mbowe wapo Dsm wanatoa maneno ya kejeli tu na uzushi, wanapata muda wa kuita press ila sio kutoa faraja kwa wana Ukerewe? Hivi huu msiba ungetokea Kilimanjaro au Arusha ingekuwa hivi ?

Kwa watu wenye ndugu

Narudia tena, huo ni msiba na unamgusa kila mtu. Lakini kuna namna haya matukio yameingizwa siasa za kishenzi chini ya utawala huu wa awamu ya tano na mfano nimekupa wa matukio ya tetemeko Bukoba na ajali ya wanafunzi huko Arusha. Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kwenda kwenye eneo la msiba eti kutaka kuwaonyesha wafiwa kwamba yuko nao, wakati hafla kama hutumika kukudhalilisha. Zikeni wanaccm kwani mwenyekiti wenu ndio anaamua haya matukio yaendeshweje kwa mtaji wa kisiasa. viongozi wa cdm wataenda kwa muda wao, ngoja viongizi wa ccm wawahi kujitafutia kura.
 
Mkija sasa hivi tunawafukuza na marungu kabisa na akili zetu za kinyama!

Hakuna anayehitaji kushiriki hizi siasa za kishenzi na wananchi wameonyesha dhahiri shahiri kwamba hawaendekezi siasa za kipuuzi ndio maana hawapigi kura. Bakini mkipika matokeo kwa siasa za kipuuzi.
 
Wachana na vichaaa

Kama mnajua Wananchi hawapigi kura Sasa hoja ya kusema CCM imeiba kura inatoka wapi?
 
Lakini ni bora wametuambia kabisa ili tujue na hata tykichanga tunajua kabisa tunachangia Rambi rambi, Ukuta na Mnara,
Kuliko wangekuja kutushtukiza baada ya Kuchanga
nilijua tu hizi hela haziwafikii wafiwa wala waombelezaji
 
Hawa nao mara nyingine hawajiongezi,
Kazi kushiriki kwenye chaguzi ambazo wanajua hawashindi.
Watakuambia wasingetambulishwa lakini Sisi raia tunataka kuona utu wenu
Otherwise watuambie walikuwepo lakini hawakupiga picha
Mbona mbunge alikuwepo na akapewa na nafasi ya kuongea, ni kiongozi gani alieenda Ukerewe akazuiwa kushiriki maombolezo.?
 
Back
Top Bottom