Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

matumizi ya rambirambi ni kutatua yatokanayo na msiba, na kama mnara ni moja wapo ya yatokanayo basi itatumika pia kwa hilo.
Kama ndio hivyo, hivi kwa akili ya kawaida tu hilo suala la mnara na uzio linahitaji litumie michango ya rambi rambi?
Serikali ina maana haiwezi kabisa kugharamia?
Tena nguvu kazi zipo, wakiagizwa wanajeshi tu hapo wanajenga mnara na uzio bila shida, ni suala la serikali kugharamia material tu...
Hebu tuache mihemko ya kijinga na kipuuzi, zipo familia zimepoteza wategemezi wao wakuu, hao serikali inawafikiaje? Au ndio huo ubani wa laki5 basi ndio imetoka...?!!?
Naamini kwa tamko la pm hamna familia itakayopokea tena chochote, na hayo maagizo yatakuwa yametoka magogoni...
 
Tuna serikali ya kutafuta kiki siku hizi, hawahangaiki na mambo ya msingi yanayogusa maisha ya watu. Wako bize kununua wsbunge na madiwani na kurudia uchaguzi kwa mamilioni ya shilingi , ndio vipaumbele vyao. Nani anajua hii serikali inakotupeleka. Kila siku Tunapiga mbio kurudi nyuma ktk nyanja zote kiuchumi, kisiasa kidemokrasia na kila kitu. TAIFA LILILOFELI.
 
Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
Uwe unaweka akili yako pamoja kabla ya kuandika basi!! Waliozikwa Bwisya sekondari wako 9 ambao hawakutambuliwa labda wataongezeka wakipatikana walionaswa kwenye kivuko. Waliobaki wote wamechukuliwa na ndugu zao kwenda kuzikwa makwao. Sasa nani ataacha kuweka kumbukumbu kwenye kaburi la ndugu yake aliyemzika mwenyewe eti akaweke kumbukumbu kwenye mnara?
 
Kama ndio hivyo, hivi kwa akili ya kawaida tu hilo suala la mnara na uzio linahitaji litumie michango ya rambi rambi?
Serikali ina maana haiwezi kabisa kugharamia?
Tena nguvu kazi zipo, wakiagizwa wanajeshi tu hapo wanajenga mnara na uzio bila shida, ni suala la serikali kugharamia material tu...
Hebu tuache mihemko ya kijinga na kipuuzi, zipo familia zimepoteza wategemezi wao wakuu, hao serikali inawafikiaje? Au ndio huo ubani wa laki5 basi ndio imetoka...?!!?
Naamini kwa tamko la pm hamna familia itakayopokea tena chochote, na hayo maagizo yatakuwa yametoka magogoni...
ngoja niseme tena…serikali haijashindwa kujenga…pia hao waloachwa na 'breadwiner' wao watatambuliwa na utaratibu mwingine utafanyika. Hata ww unaweza kuja huku kijijini uwatambue na umsaidie mmoja tu…sio kukaa nyuma ya key board ukipambana kwa maandishi yenye povu na matusi… kama una uchungu wa kweli fanya kwanza yaliyo ndani ya uwezo wako!
 
Uwe unaweka akili yako pamoja kabla ya kuandika basi!! Waliozikwa Bwisya sekondari wako 9 ambao hawakutambuliwa labda wataongezeka wakipatikana walionaswa kwenye kivuko. Waliobaki wote wamechukuliwa na ndugu zao kwenda kuzikwa makwao. Sasa nani ataacha kuweka kumbukumbu kwenye kaburi la ndugu yake aliyemzika mwenyewe eti akaweke kumbukumbu kwenye mnara?
na ww umeweka wapi akili yako ktk andiko hili!
Mnara utaorodhesha majina ya wafa maji wote waliotambuliwa bila kujari wamezikwa wapi? Hii mihemko haijawahi mwacha mtu salama!
 
Sasa wewe hiyo subiri kivuko kiinuliwe utaona maajabu yake, kunaweza kuwa na watu mia moja na ushee wamekwama ndani, mark my word! Kuna tukio la kustaajabisha zaidi linakuja baada ya kivuko kubinuliwa.
......
......aiseeehhh
 
na ww umeweka wapi akili yako ktk andiko hili!
Mnara utaorodhesha majina ya wafa maji wote waliotambuliwa bila kujari wamezikwa wapi? Hii mihemko haijawahi mwacha mtu salama!
Yaani nitoke bunda kwenda Bwisya Ukara kuangalia mnara uliojengwa kwa rambirambi ya kifo cha kaka yangu wakati kaburi lenye jina lake liko uwanjani kwetu? Nyie watu mbona mnachezea akili za Watanzania. Angekuwa ndugu yako ungekubali rambirambi ambayo kwa baadhi ya familia zetu masikini ndio inayolisha waombolezaji ikajenge ukuta kuzunguka makaburi ya Bwisya?
 
ngoja niseme tena…serikali haijashindwa kujenga…pia hao waloachwa na 'breadwiner' wao watatambuliwa na utaratibu mwingine utafanyika. Hata ww unaweza kuja huku kijijini uwatambue na umsaidie mmoja tu…sio kukaa nyuma ya key board ukipambana kwa maandishi yenye povu na matusi… kama una uchungu wa kweli fanya kwanza yaliyo ndani ya uwezo wako!

Ungecite nilipoandika tusi basi maana naona unalia sana!
Kuhusu kutambuliwa na hiyo unayosema serikal sahau, naona unajitoa ufahamu sasa! Hivi lile tukio la kagera, baada ya serikali kubadili matumizi ya rambirambi ni utaratibu upi uliofanyika ili kuwatambua wale victims?
Kuhusu mimi kumsaidia yeyote litabaki ndani ya nafsi yangu, sina haja ya kutangazia yeyote!
Lakini linapokuja suala la mambo ya umma kwa ujumla ni haki yetu kuhoji na kupatiwa majibu yasiyo na shaka...
 
Back
Top Bottom