Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Kama ndio hivyo, hivi kwa akili ya kawaida tu hilo suala la mnara na uzio linahitaji litumie michango ya rambi rambi?matumizi ya rambirambi ni kutatua yatokanayo na msiba, na kama mnara ni moja wapo ya yatokanayo basi itatumika pia kwa hilo.
Serikali ina maana haiwezi kabisa kugharamia?
Tena nguvu kazi zipo, wakiagizwa wanajeshi tu hapo wanajenga mnara na uzio bila shida, ni suala la serikali kugharamia material tu...
Hebu tuache mihemko ya kijinga na kipuuzi, zipo familia zimepoteza wategemezi wao wakuu, hao serikali inawafikiaje? Au ndio huo ubani wa laki5 basi ndio imetoka...?!!?
Naamini kwa tamko la pm hamna familia itakayopokea tena chochote, na hayo maagizo yatakuwa yametoka magogoni...