Dah...ungeshauri wafanye nini chief? Ukirejea vifaa na utaalam walio nao..[emoji41]
Kwahiyo tangia hiyo meli ianze kufanya safari miaka yote hiyo leo ndio wamepunguza maji kwenye hayo MABOYA ya chini?Sio kila sehemu muweke siasa na hoja za kipumbavu kama hizi, mnajifanya kujua kila jambo end of the day mwaonekana ka mitaa.hiratu, unajua kinachosababisha marine vessel hasa melii nini?
Kunapokosekana uwiano wa uzito kati ya mzigo wa chini (watertanks) na ule wa juu (abiria na mizigo) hiyo ndo huwa sababu kubwa ya meli kuoverturn hata kama ni mpya.
Maafisa wa meli wanapozidisha mzigo hupunguza maji ya chini ili kudanganya wakaguzi...hiki ndicho kilichotokea hata kwa Mv Bukoba, unapopunguza mzigo wa chii na kuzidisha wa juu nadhani unajua nini kitatokea endapo ukiweka chupa ya dasani yenye maji nusu ndani ya besini na ukafunga kitu kizito juu ya chupa chenye uzito kuzidi hayo maji nusu. Ni Rais aliyewatuma kuover load? hizi kejeri na dhihaka dhidi ya Rais zinatoka wapi?
Ikiwa wewe ndiwe rais wa nchi unapataje usingizi ikiwa raia wako wako chini ya maji kwa usiku mzima?. Waafrika Mungu aturehemu sana. Huu uongozi wa kupitia *** wa *** utalimaliza bara la Africa. Tunakosa utu alafu bila ya aibu li mtu linasema wazi wazi uokozi mpaka kesho hivi tuna akili kweli?. Alafu kesho limtu limoja litakuja na mitungi ya gas ya uchomeleaji kutoboa hiyo meli ili watu watokemo kupitia juu.Ngoma imezama mchanaaa yaan mchana kweupeeee... Ila mpaka wanasitisha zoezi ilo usiku huu only 44 watu...
Ivi jamaa ziko serious kweli au wanazengua???
Hoja yako nzuri ila inaelekea bado hatujajifunza kutokana na ajali zilizopita maana ajali kama hiyo ilitokea miaka 22 iliyopita ya Mv Bukoba kupinduka na ilichukua muda waokoaji kufika eneo la tukio na hata waliofika hawakuweza kuokoa
Kutokana na ajali hiyo ya Mv Bukoba. Ina maana hatujajipanga kweli huku mtu mmoja akizunguuka kuangalia kero za wananchi akiwa anahutubia helicopter ipo juu...walishindwa kusafirisha waokoaji kwa ndege faster eneo la tukio?
Lakini hata hatujifunzi utadhan ni tukio la kwanza yaniAjali nyingi za majini kwa tanzania zinafanana vyanzo vyake
Kupinduka au....?!!Ajali nyingi za majini kwa tanzania zinafanana vyanzo vyake
Kwahiyo DC amedanganya?!Watu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Ndugu ni kwelWatu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Una mahaba na jiwe,kwa hiyo roho ya jiwe ni bora kuliko roho za hao waliozama?Sio kila sehemu muweke siasa na hoja za kipumbavu kama hizi, mnajifanya kujua kila jambo end of the day mwaonekana ka mitaa.hiratu, unajua kinachosababisha marine vessel hasa melii nini?