Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Pickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!
Hajaenda shule shuyo achana nae, mtu ambaye hajui kitu kinachoitwa centre of gravity utabishana nae hadi link?
 
Unayajua majanga ya asili ww? Nikwambie mv nyerere ni uzembe kuanzia ngazi za chini ndio umekost hawa watu maisha yao.
 
Tafsiri ya neno "UJINGA" ni kutokuelewa kitu. Kwahiyo unahitaji kueleweshwa tu mkuu
 
Mabinti wengi wa JF mmesomea chini ya miti ndio maana kwenye mada kama hizi lazima utawajua tu akili zao hivi ajali ya MV NYERERE unaweza kuita ni nature disaster?.

Majanga ya asili ni mafuriko,kimbunga,volcano eruption na vingine vinavyofanana na hayo
 
Janga la asili kama hicho kivuko kingepigwa na dhoruba kali na kuzama hapo sawa lakini pale ni pwani au mwaloni na kivuko kilikuwa kinajipanga kutia nanga tatizo likawa uzito kuelemea upande mmoja na kusababisha kubinuka kwa chombo na kisha kuzama hiyo ni ajali ya kawaida tu na imetokana na makosa ya kibinadamu.
 
Hivi wewe unayajua majanga ya asili? Jinsi siku zinavyozidi kwenda na Jf nayo inazidi kuvamiwa.
 
Labda ni JANGA LA SIRI" (tusichukulie tu et ni AJARI*)
 
PICHA YA SIKU: MAISHA LAZIMA YAENDELEE...

Wakazi wa Bwisya wakichota maji katika ufukwe wa Ukara, Ziwa Victoria kwa ajili ya matumizi ya nyumbani jana. Eneo hilo ni jirani na sehemu kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere. Picha na Michael Jamson
 

Attachments

  • FB_IMG_1537782579857.jpg
    49.1 KB · Views: 67
Dah nihatari sana aisee ila me hapo wasiwasi wangu hapo nikiafya hao watumia hayo maji wanauhakika gani kama maiti zote zimeopolewa?
 
Sir albert alinifundisha kiswahili nyambiti primary school miaka hiyoo zamani sana, pia kwenye hiyo ajari alikuemo pamoja na mke wake wote wamefariki humo, mwili umeagwa nyumbani kwao mwanamke maeneo ya nyasaka na kusafirishwa asubuhi kuelekea huko kwa mwanaume,

R.i.p sir albert
 
Kuko Karibu Aise.Nahisi ingekua tuko Active kwenye mambo ya msingi hakika mamia ya watu wangeeza kuokolewa.Ingekua kwa wenzetu hili swala lingetokea hakika watu wengi wangeokolewa.Hakuna haja ya kulaumu coz ishatokea,Lakini sijui ni kwanini Waafrika hatuko siriazi kwenye mambo ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…