MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Hajaenda shule shuyo achana nae, mtu ambaye hajui kitu kinachoitwa centre of gravity utabishana nae hadi link?Pickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaenda shule shuyo achana nae, mtu ambaye hajui kitu kinachoitwa centre of gravity utabishana nae hadi link?Pickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!
Unayajua majanga ya asili ww? Nikwambie mv nyerere ni uzembe kuanzia ngazi za chini ndio umekost hawa watu maisha yao.Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
ndio maana kuna watu wanahojiwa.. mwambie hakuna asili hapoPickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!
Tafsiri ya neno "UJINGA" ni kutokuelewa kitu. Kwahiyo unahitaji kueleweshwa tu mkuuWanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Janga la asili kama hicho kivuko kingepigwa na dhoruba kali na kuzama hapo sawa lakini pale ni pwani au mwaloni na kivuko kilikuwa kinajipanga kutia nanga tatizo likawa uzito kuelemea upande mmoja na kusababisha kubinuka kwa chombo na kisha kuzama hiyo ni ajali ya kawaida tu na imetokana na makosa ya kibinadamu.Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Labda ni JANGA LA SIRI" (tusichukulie tu et ni AJARI*)Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Jamani, inasikitishaWabongo halipo tunaloliweza zaidi za umbea chuki na roho za Kwanini!
Niliangalia jana wale wanaokemea wenzao kama wasifanye siasa kwenye msiba unakuta wao ndo wamejipanga na magwanda yao ya kijani wahojiwe ili chama kionekane