Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Pickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!
Hajaenda shule shuyo achana nae, mtu ambaye hajui kitu kinachoitwa centre of gravity utabishana nae hadi link?
 
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Unayajua majanga ya asili ww? Nikwambie mv nyerere ni uzembe kuanzia ngazi za chini ndio umekost hawa watu maisha yao.
 
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Tafsiri ya neno "UJINGA" ni kutokuelewa kitu. Kwahiyo unahitaji kueleweshwa tu mkuu
 
Mabinti wengi wa JF mmesomea chini ya miti ndio maana kwenye mada kama hizi lazima utawajua tu akili zao hivi ajali ya MV NYERERE unaweza kuita ni nature disaster?.

Majanga ya asili ni mafuriko,kimbunga,volcano eruption na vingine vinavyofanana na hayo
 
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Janga la asili kama hicho kivuko kingepigwa na dhoruba kali na kuzama hapo sawa lakini pale ni pwani au mwaloni na kivuko kilikuwa kinajipanga kutia nanga tatizo likawa uzito kuelemea upande mmoja na kusababisha kubinuka kwa chombo na kisha kuzama hiyo ni ajali ya kawaida tu na imetokana na makosa ya kibinadamu.
 
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
Labda ni JANGA LA SIRI" (tusichukulie tu et ni AJARI*)
 
PICHA YA SIKU: MAISHA LAZIMA YAENDELEE...

Wakazi wa Bwisya wakichota maji katika ufukwe wa Ukara, Ziwa Victoria kwa ajili ya matumizi ya nyumbani jana. Eneo hilo ni jirani na sehemu kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere. Picha na Michael Jamson
 
Attachments

  • FB_IMG_1537782579857.jpg
    FB_IMG_1537782579857.jpg
    49.1 KB · Views: 67
Dah nihatari sana aisee ila me hapo wasiwasi wangu hapo nikiafya hao watumia hayo maji wanauhakika gani kama maiti zote zimeopolewa?
 
Sir albert alinifundisha kiswahili nyambiti primary school miaka hiyoo zamani sana, pia kwenye hiyo ajari alikuemo pamoja na mke wake wote wamefariki humo, mwili umeagwa nyumbani kwao mwanamke maeneo ya nyasaka na kusafirishwa asubuhi kuelekea huko kwa mwanaume,

R.i.p sir albert
 
Kuko Karibu Aise.Nahisi ingekua tuko Active kwenye mambo ya msingi hakika mamia ya watu wangeeza kuokolewa.Ingekua kwa wenzetu hili swala lingetokea hakika watu wengi wangeokolewa.Hakuna haja ya kulaumu coz ishatokea,Lakini sijui ni kwanini Waafrika hatuko siriazi kwenye mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom