Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ndio maana Mungu hatupi hayo majanga maana ....
 
Natafakari tu,
Kama PhD zimeokoa mtu mmoja, na wasio na elimu wameokoa 40,
Kuna haja ya PhD ?

Bado natafakari.
Hata Dr Shika naye ni Phd.

Mungu tuhepushie mbali huo ugonjwa,fedha za majangwa chini ya waziri mkuu kila bajeti zinatengwa lakini majanga yote sirikali inapitisha bakuli inaonekana hizo fedha zinatumika katika warsha,semina elekezi,makongamano na vitu vinavyofanana na hivyo na si kwenda field kusaidia jamii.
 
wasio na PHD wanazo Dawa zao nzuri tu na zinatibu (Rejea dawa ya Mwaa40)
 
umejuaje katika chumba cha injini alikuwepo mmoja tu (Mr Charahani)?
kama walikuwepo wengine ambao siku ya pili walichoka
tusiwe wajinga kushangilia vifo vya wenzetu ambao wangeokoka km hata chombo cha welding au kukata kwa gesi kungefanyika mara mojahata usiku wangetolewa hai
 
Chumba cha injinia sio sehem ya kukaa abiria au watu wanaenda kupiga story.Ukileta habari za walikuwepo wengi sijui kama unakua umefikiri vizur chumba cha injini kunakuwa kuko vipi
 
Chumba cha injinia sio sehem ya kukaa abiria au watu wanaenda kupiga story.Ukileta habari za walikuwepo wengi sijui kama unakua umefikiri vizur chumba cha injini kunakuwa kuko vipi
Engine room kwanini watu wasikae?
na kakutwa na Oil kibao
hebu waulize mafundi km hilo eneo inakoungwa shaft ya pangaboy hakuna nafasi?
Engine room ventilation



sijasema chumba cha Injinia nimesema chumba cha chini cha injini, km hiyo picha ya chini, Boti ikigeuka chini juu lazima chini patakiwa juu na diesel na oil vitamwagika
RIP waliopaywa na majanga MV NYERERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…