Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Natafakari tu,
Kama PhD zimeokoa mtu mmoja, na wasio na elimu wameokoa 40,
Kuna haja ya PhD ?

Bado natafakari.
Hata Dr Shika naye ni Phd.

Mungu tuhepushie mbali huo ugonjwa,fedha za majangwa chini ya waziri mkuu kila bajeti zinatengwa lakini majanga yote sirikali inapitisha bakuli inaonekana hizo fedha zinatumika katika warsha,semina elekezi,makongamano na vitu vinavyofanana na hivyo na si kwenda field kusaidia jamii.
 
Ukimaanisha nini kwa mfano, kwani wasio na phd walishawahi kutengeneza dawa ya malaria, au dawa za kufumbaza virusi vya ukimwi, au wasio na phd washawahi kukuletea madawa hayo unayoyaona mahospitalini kutoka kwenye mashirika ya wasio na phd huko nchini kwao wasio na phd, wasio na phd walihudumia hao waliookolewa kwenye ajali wakawapa matibabu? Nijibu tu mkuu
wasio na PHD wanazo Dawa zao nzuri tu na zinatibu (Rejea dawa ya Mwaa40)
 
Nitajia mmoja tu aliyekuwa Na PhD aliyeenda kwa Babu wa loliondo kipindi kile
Jiwe
1537939065712.png
 
Sababu ni simple tu kwamba hakuna binadamu wa kukaa chini ya maji zaid hata ya dk 10 bila ya vifaa maalumu. Kivuko kilipinduka saa nane, unategemea tuseme had saa 12 jioni kuna binadamu wa kuwa HAI chini ya maji zaid ya huyo anayesemekana alikua kwenye chumba cha injini?
umejuaje katika chumba cha injini alikuwepo mmoja tu (Mr Charahani)?
kama walikuwepo wengine ambao siku ya pili walichoka
tusiwe wajinga kushangilia vifo vya wenzetu ambao wangeokoka km hata chombo cha welding au kukata kwa gesi kungefanyika mara mojahata usiku wangetolewa hai
 
Chumba cha injinia sio sehem ya kukaa abiria au watu wanaenda kupiga story.Ukileta habari za walikuwepo wengi sijui kama unakua umefikiri vizur chumba cha injini kunakuwa kuko vipi
 
Chumba cha injinia sio sehem ya kukaa abiria au watu wanaenda kupiga story.Ukileta habari za walikuwepo wengi sijui kama unakua umefikiri vizur chumba cha injini kunakuwa kuko vipi
Engine room kwanini watu wasikae?
na kakutwa na Oil kibao
hebu waulize mafundi km hilo eneo inakoungwa shaft ya pangaboy hakuna nafasi?
Engine room ventilation
1537967811823.png

1537967833572.png

1537967929165.png

sijasema chumba cha Injinia nimesema chumba cha chini cha injini, km hiyo picha ya chini, Boti ikigeuka chini juu lazima chini patakiwa juu na diesel na oil vitamwagika
RIP waliopaywa na majanga MV NYERERE
 
Back
Top Bottom