[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si utani ngoja nikutajie listi
1. Kingunge alitembelewa mwishowe akavuta
2. Maria na Consolata mwishowe akavuta
3. Samuele Sita mwishowe kavuta
4. Yule aliyechora nembo ya taifa mwishowe kavuta
5. Mzee Majuto naye alivuta
6. Mzee mmoja wa CCM (jina nimelisahau) naye kavuta
7. Wengine niliowasahau nao wamevuta
Yaani hawaponi kabisa!
Duh nimeaanza kumuogopa kwa kweli ata nikiumwa nikimsikia anakuja ntakimbia na dripu zangu maana maisha matamu
Hawa jamaa juzi tu Rais kawalipa malimbikizo yao yote ya mishahara!Hii ya watu kuwa na mamlaka na tamaa ya pesa na kujaza watu na mizigo zaidi.. inasikitisha sana
Kama ni hivyo kitu ambacho wengi tumekuwa tunahisi.. basi watu wachukuliwr hatua ya kesi na kufungwa jela maisha.. iwe funzo kwa wengine wenye tamaa ya pesa.. na pia Raia wafundishwe kukataa kuendelea na safari wakiona haya ya kujazana kupitiliza
Kwa mazezeta ya kitanzania upo sahihi kabisaNa itatokea tena na tena na tena, kwa sababu hizo hizo!
Ila nimeshtushwa na hii habari ya kusitishwa zoezi la uokoaji. Hivi ukisitisha mpaka kesho utategemea kuokoa au kuopoa miili!! Sijaelewa kabisa.
Una mahaba na jiwe,kwa hiyo roho ya jiwe ni bora kuliko roho za hao waliozama?
Kwa mazezeta ya kitanzania upo sahihi kabisaNa itatokea tena na tena na tena, kwa sababu hizo hizo!
Dah....una fire extinguisher nyumbani?[emoji41]hahahahhaa karne ya 21 na miaka zaidi ya 50 ya uhuru unaongelea utaalamu na vifaa?? haiwezi kuwa excuse hiyo ni uzembe huo..
Wanavyo wa kupiga chadema hata kama ingekuwa ni Giza totoro vya uokozi hakuna. Wanashindwa hata kuwapata mafuta taa ya karabai wavuvi na posho wazurure usiku kucha kufanya uokozi.Ngoja tuendelee kurudia uchaguzi tu ndo tukiwezacho.Wanasitisha vipi uokoaji? Hivi vitu vinatia hasira. Kwa hiyo kesho wataenda kuokoa maiti? Ni binadamu gani anaweza kuishi ndani ya maji kwa zaidi ya masaa kumi huku akipigwa baridi!? JWTZ hawana meli au boti ziwani Victoria? Polisi nao hawana vifaa vya uokozi? Hata kama umaskini hii too much.
Poleni mliofiwa,
poleni mliojeruhiwa,
Mwenyezi Mungu awanusuru na kuwalinda waliopo ziwani wakiwa hai.
Mungu awapokee kwa amani waliofariki
Kwani hawana taa au tochi?Zoezi la uokoaji limesitishwa hadi kesho kutokana na giza nene ziwani-RC. Miili 44 imeokolewa na mahututi 37
kama wangeendelea usiku huu wangemwokoa nani ndugu meli imezama na watu wako ndani ya maji tangu saa nane? wanasitisha ili kupunguza uwezekano wa ongezeko la vifo.Ila nimeshtushwa na hii habari ya kusitishwa zoezi la uokoaji. Hivi ukisitisha mpaka kesho utategemea kuokoa au kuopoa miili!! Sijaelewa kabisa.
Ukweli ni kwamba pesa mnazo rudia uchaguzi zingetosha kununua vivuko vipya tanzania nzima na kuokoa maisha ya walala hoi.Jiwe ndo mamaako vile? kama ndo yeye ewaaa..tuko busy kukutafuta mdogo wako.