Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Asubui watakuta maiti.Hapo ingekuwa chadema wanafanya mkutano kwenye MAJI gizani wallahi wangefatwa hata sijui na chochote wapewe mkongoto bila kujali giza au mvua.
 
Naungana nawe [emoji817] %
 
A total of 42 people have been confirmed dead after a ferry sank in Tanzania's Lake Victoria, a government official has announced, adding that more than 200 people are actually believed to have drowned.
===
rt.com
_____
post ya kwanza ya uzi huu wasema kivuko kilikuwa na uwezo wa 100 na magari 3. Hii taarifa imenistua sana.
 
Zoezi la uokoaji limesitishwa hadi kesho kutokana na giza nene ziwani-RC. Miili 44 imeokolewa na mahututi 37
Kesho wanaenda kuokoa watu au kuopoa maiti,tuendelee tu kurudia uchaguzi tu ndo tuwezacho.
 

Ni ngumu sana kujua kivuko kimebeba wangapi, hata kwa kutumia ticket hawawezi jua kimezama na wangapi

Tutegemee kuna watanzania wengine hawataokolewa

Ingejulikana idadi kamili yeah ila haijulikani
 
Waafrika walishaambiwa giza likiingia wanapaswa wakalale, na hapo hapo kichaa anapigilia msumari na kusema waendelee kuzaliana(wapigane miti kisawa sawa).

Tusishangae giza kuingia na usitishwaji wa zoezi la uokoaji.
 
Kigwa ajiandae[/QUOTE]Dada ake
 
Kwa JINSI BOAT ilivyozama MZIGO ULIPANGWA VIBAYA,,,pamoja na kwamba ilibeba watu WENGI,, lakini MZIGO HAUKUWA STABLE,,, meli haigeuki tu ghafla,,hivi hakuna SURVIVED YEYOTE AKATUPA USHUHUDA? LAZIMA boat ilielemea UPANDE MMOJA,,na NAHODHA AKALAZIMISHA KUKIPELEKA UFUKWENI.....
 
Eti zoezi la uokoaji limesitishwa hadi kesho kwa ajili ya giza, kwani hawana tochi??
 
Poleni sana wafiwa na wafiwa watarajiwa MUNGU awape subira kwenye kipindi hiki!

Nilivyoona na kuelewa mimi nafikiri hicho kivuko kimezama karibu kabisa na ufukwe kwenye majira ya saa nane mchana.

Tunaoishi karibu ya na vyanzo vya maji tujitahidi kutumia muda kujifunza kuogelea na kuwa tunaogela mara kwa mara tukipata fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…