Asubui watakuta maiti.Hapo ingekuwa chadema wanafanya mkutano kwenye MAJI gizani wallahi wangefatwa hata sijui na chochote wapewe mkongoto bila kujali giza au mvua.Mimi bado sijamwelewa huyo mkuu wa mkoa....
Anasema tunasitisha uokoaji mpaka kesho asubuhi kwa sababu giza limeingia!!!
Maswali makuu ya kujiuliza.
1/Watu waliopo hai chini ya maji(kama wapo), wataendelea kukaa kwenye maji wakiwa hai mpaka kesho?
2/Nini maana ya dharula, ikiwa unaweza kuhairisha?
3/Wameshindwa kupambana na giza ili uokoaji uendelee?
Hivi ile kauli ya hapa kazi tu ni blah blah ya kuwachota wajinga tu?