Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!


Huwa kinabeba kuliko idadi husika
Mfano hiko kivuko kinatakiaa kubeba 100 tu ila kutokana na wingi w watu ma muda hivyo wahusika hupakia wengi kuzidi na hakuna manifest maana sio meli ni kivuko tu
Kwa meli manifest inakuwepo
 
Kwahiyo kesho asubuhi ndio muendelee kuokoa watu au maiti, achen ujinga, endeleeni na uokoaji hivyo hivyo na giza
 
Kuna kitu kinaitwa immidiate situation yani hali halisi wakati wa tukio la uokoaji hivyo psychologicaly inaonekana katika sample za waliowaokoa usiku wameshafariki wakaona hakuna haja ya kusumbuka na giza huku tunatoa maiti tu.
Isingewezekana wanaookolewa wawe hai alafu wasitishe uokoaji.
Inakillah wa inaillah raajun.
 
WELL SAID BROTHER![emoji115][emoji106].
TAARIFA NYETI KAMA HII HAIWEZEKANI UITOE KICHWANI. HAIINGII AKILINI ETI TANI 25 SAWA NA ABIRIA 100 NA GARI 3? KWELI? [emoji45] [emoji45] [emoji45]. NA HUYU NI MTAALAMU KWELI? [emoji45] [emoji45] [emoji45]ALIE TULOGA KAFARIKI [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Tutegemee mkuu wa mkoa wa mwanza kutumbuliwa kesho if not kesho kutwa
 
Ni ajabu sana kutoa taarifa kuwa haijulikani watu walikuwa wangapi

Hebu acheni kucheza na maisha ya watu jamani
 

Hatujajiandaa kwa majanga na hatuoneshi kujiandaa
 
Hongera CHADEMA, nimewaona mko bega kwa bega na wananchi kwenye hili janga. Naona watani zenu Ccm bado wanashangilia ushindi hewa
 
Ajali imetokea mchana. It was known Giza litaingia, so sio Giza halijaja ghafla. Why not prepare??. Taa sh ngapi??. Mbona wavuvi wanavua samaki usiku??..

Yes tutembee kifua mbele, tuko kwenye right tract.
 
Ni ajabu sana kutoa taarifa kuwa haijulikani watu walikuwa wangapi

Hebu acheni kucheza na maisha ya watu jamani
Sasa unashangaa nini kutokujua idadi ya watu .......kivuko cha hapo kigamboni geti likifunguliwa kila mtu spidi ndani ....kila mtu anawahi anapokwenda .....sawa na mwendo kasi utahesabu abiria wangapi wapo kwenye gari ..... ni ajari kivuko kime overload basi
 


Zoezi lisitishwe kwa vile hali ya ziwa imechange. It is a shame RC kuadmit kuwa ni Giza ndio linasitisha. Hata angekaa kimya ingekuwa bora zaidi.
 
Duuu wewe!
 
Hawa watu wangekuwamo wao wangesitisha uokozi kwa sababu za kisenge???.
Haya mambo yanakera kweli. Hivi kweli boti zimeshindwa kupakiza generator za nguvu kukabili hali??
 
Imenikumbusha machungu ya kupoteza ndugu wawili MV Bukoba.

Imenikumbusha Naodha Lumemweru.
 
rIp
 
Dah....una fire extinguisher nyumbani?[emoji41]

hahahahaha hapo umefeli bro jikoni ziko 3, coridoni ziko 3 na sitting ziko 2, vyumba vinne kila kimoja iko moja kilo 9, na za jikoni ziko kg 9.. Nyumba nzima wanajua kutumia mpaka house girl anajua moto ukitokea nini cha kufanya...kazi kwako mkuu..

Sasa sijui ajali iliyotokea na hili la nyumbani kwangu vinauhusiano gani, usijaribu kujustify ujinga wako kwa ujinga wa mwingine tuwe serious kwa masuala nyeti kama haya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…