Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Poleni sana " Ama hakika ajali za mara kwa mara ni moja ya jinamizi kubwa " mnoo linaloipa changamoto serikali ya awamu hii
 
Mwenyezi muweza wa yote twaamini waweza kusaidia waja wako na twaomba ufanye hivyo katika hili janga.
 
idadi ya abiria ni wangapi? mliopo huko mtujuze wa mbali.
 
Wazir husika atoe rambirambi faster kisije kikaota nyasi kibarua
 
Rais si alikuwa huko juzi na tBC1 Live na akawalipa wafanyakazi wote madeni yao na akawakataza wasi over load?
Vipi tena.

Jiwe huwaga ana gundu ni kama uko hospitali alafu Mortician(jiwe) akaingia wodini lazima gundu litokee tu... alienda msalimia dada yake mwishowe dada akavuta...

Anyway sisi kipaumbele chetu ni CHADEMA ila Kenge yupo wapi au nguvu ya soda ishaisha moto kama wa kiberiti maana alimwambia naniliu kwamba hatatuma salamu za rambirambi

Poleni wenzetu
 
Vipi kikosi cha Kuzima Moto na Uokoaji kimeshafika eneo la tukio na kutoa msaada wowote wa uokoaji..?

Poleni sana wana Ukerewe kwa janga hili baya sana kuwakuta.
 


Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie
 
Vivuko ni ngumu kujua wangapi wamepanda
Hivyo kuna wengine wanaweza wasiwekwe kwenye orodha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…