Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo juu ya maji unamaanisha nini
Analia wala hacheki msikilize tenaMBONA ANACHEKA KTK MAJANGA ILA NDIO KUSEMA KIFO HAKITISHI TENA WALE WANAHITAJI KUONEWA HURAMA MANA HATA AKILI ZAO HAZIPO HAPO TENA.....SO SAD
Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie
Mbona anakia huyo.MBONA ANACHEKA KTK MAJANGA ILA NDIO KUSEMA KIFO HAKITISHI TENA WALE WANAHITAJI KUONEWA HURAMA MANA HATA AKILI ZAO HAZIPO HAPO TENA.....SO SAD
naona kifo kimekuwa ni kichekeshoMBONA ANACHEKA KTK MAJANGA ILA NDIO KUSEMA KIFO HAKITISHI TENA WALE WANAHITAJI KUONEWA HURAMA MANA HATA AKILI ZAO HAZIPO HAPO TENA.....SO SAD
Gundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yakoJiwe huwaga ana gundu ni kama uko hospitali alafu Mortician(jiwe) akaingia wodini lazima gundu litokee tu... alienda msalimia dada yake mwishowe dada akavuta...
Anyway sisi kipaumbele chetu ni CHADEMA ila Kenge yupo wapi au nguvu ya soda ishaisha moto kama wa kiberiti maana alimwambia naniliu kwamba hatatuma salamu za rambirambi
Poleni wenzetu
Kha! Kwani wewe kimekuuma nini hadi umwage matusi kama m.sng.e huyo Jiwe ni baba yako au mumeo?Gundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yako
Kwa kuangalia tu hiyo list wewe ni ntu wa pwani ?
Analia wala hacheki msikilize tena
ILA KWELI KAMA ANALIA HIVI.....SEMA KILIO CHAKE CHAUTATA BHANAMbona anakia huyo.
God save. Eeh Mungu wa miungu na mbingu uwaweke katika mikono salama.Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKALA wilayani Ukerewe.
====
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.