Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki mirembe milele walahiNiliwahi sema huyu jiwe asije kufanya tena ziara kili na arusha nikatukanwa sana ila mtaelewa maana yake.
Piga simu kitengo cha uokoaji fasta ili waweze kuja ata kuokoa Roho za ndugu zetu kabla ya kuja kupost humu ili uwe wa kwanza kuleta habari.JAMANI HATARI
TBC hawana habari kabisaJAMANI HATARI
Mhh! Hii ni kweli?Hali tete View attachment 872283
OMG ninaweza kuhisi maumivu yaoHali tete View attachment 872283
Huwa wanawahi macho, viganja vya mikono na miguu Kama huna viatu nielewavyo mimi...ivi samaki wanakula miili ya binadamuueeee.....nawaza vitoweoo SANGARA n SATO
Daah! mbona maji yametulia kimezajezamaje au ndo freemason tena?Hali tete View attachment 872283
Well said walahiGundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yako
wewe unazani kivuko kizima watapanda wakala wengine wahamiajiKWA UFUNDI WA KUOGELEA, HAMNA HATA MKARA MMOJA ATAKUFA KWA AJALI HIYO..I AM TELLING
Mtakuwa ww na familia yako mlileta hii ajali kulalamika sana nako ni u kUtasikia Serikali haikuleta hii ajali.
Poleni sana mliofikwa na hilo janga!
Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKALA wilayani Ukerewe.
====
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.
Pole kwaoHabari za Hivi tulizopata kutokea huko Ukerewe kimezama mpaka sasa hivi Hatujaweza kupata idadi ya Majeruhi wala vifo tutawajuza mda si mrefu
Mwanahabari Huru
=====
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.
Unapohimiza watu wazaliane tu bila ya mikakati ya kukidhi hao watu wanaoongezeka ndio tunafika hapa, watu wengi wanajazwa kupita kiasi ktk chombo.kama hakukuwa na dhoruba basi ni yale mambo ya kujaza watu na walivyo beba kupita kiasi.
poleni sana