Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukifatilia sababu zilizo pelekea kivuko kuzama utagundua ni zile zile tu.
We'are never SERIOUS on life threatening situations.
 
hao waokoaji umewaona, hawana zana zozote za kuokolea, yani bare body, wameshindwa kuwa na mitungi ya gesi wakazama chini jamani, nimeshangaa sana maiti zinashikwa with bare hands kweli, daah
 
Very sad indeed.

Hela ya kununua washawasha za police tunazo but not tools za emergency preparedness and response.
We can't even respond kwa kuheshimu waliokufa na kutangaza siku ya maombolezo.
Jana tulisitisha kwa Giza , kana kwamba today tumeagana na upepo/ mawimbi na mvua. 100M from the shore tunakufa hivi ( maana yake hakukuwa na maboya ya kutosha).
 
yule mpumbavu hivi alikuwa ni mwanajeshi au mfanyakazi wa hao wajinga temesa au alikuwa mvuvi tu aliyejiongeza?ila ujue kuna marine kabisa wanalipwa mishahara kuhusu mambo ya uokoaji.

Na wapo.
kwa niliyoona ukara, hakuna hicho kitengo nahisi kilikuwepo awamu ya 4, awamu hii hakuna aisee
 

Sijajua umepata wapi uhalali wa kunambia naona fahari kwa yanayoendelea. Binafsi kama binadamu na mtanzania nimeumizwa na ajali hiyo na yote yatokanayo, amini nakuambia kwamba sina maslahi yoyote yale kwenye vifo na mateso ya mtu yeyote yule na hata unihoji kama si kunituhumu kuhusu kuona fahari kwenye hilo janga.

Kuwa na vifaa na rasilimali watu wanaoweza kufanya uokozi usiku na mchana ni jambo moja. (Kama nchi tunatakiwa kuwa kwenye kiwango hiki cha kuhakikisha usalama wa wananchi wenzetu wanaofanya shughuli zao majini).

Kama hauna vifaa na watu wa kutosha kufanya uokozi wakati wa usiku (kwa sababu yoyote ile iwayo) hautakiwi kuendelea na zoezi hilo maana unaweza kuwapoteza hao waokoaji wako.

Kusema hivi hakumaanishi kwamba Mimi naunga mkono kutokujiweka tayari kukabili majanga, au nafurahia vifo vya ndugu zetu.

Mimi kuandika au kueleza jambo ni suala moja, wewe kunielewa ni jambo tofauti. I get it.
 
Mkuu wa mkoa angeomba wananchi wakalale mpaka asubuhi ndio wakapoe maiti.
Kuna wakati naona bora uhuru wa habari umezuiwa ili tusione upumbavu wa viongozi wa nchi hii tukazidi kuwachukia na kuomba mabaya badala ya mema.
Mwenyezi Mungu naomba uwape pigo kubwa sana tume ya ccm ya uchaguzi, kichaa na pumbafu wote wa ccm.
Hii ajali ingetokea usiku wangefanyaje?
Tumechoshwa na ujinga wenu.
 

Mkuu mimi naungana na wewe kwenye yoote hayo hapo juu kwa zaidi ya 100%.
Lakini je, inapotokea hayo hayajafanyika (kwa sababu yoyote ile), unawaambia waokoaji "nyinyi endeleeni tu na uokoaji hivyo hivyo tu hata kama na nyie mkipotelea hukohuko, potelea mbali'' ?
 
halafu MA ccm yanawaambia watu kuwa " wanapambana katika kuipeleka " nchi katika Uchumi wa kati "... wakati hata akili kama ya muandishi tu " wa hii article hawana "....

hii nchi ingekuwa inaongea " ingeshawatoleaga" radhi baadhi ya mijitu " fulani hapa " nchini " .... na mlaaniwe nyote wenye mamlaka ya usafiri na ukuu wa mkoa/wilaya huko mwanza "..
 
Kuna video huko Instagram inatrend mbunge mmoja alitoa ANGALIZO kuhusu kivuko hicho na hakika imetokea, so 😔 maisha ya wapiga kura yamepotea.
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
 
hela ya kununulia wapinzani ipo ya kuhudumia walipa kodi.... DOROOOOOOOOOO!!! SHAMELESS SHWAINNNNNNNNNN
Ni ajabu mkuu maana Jana tumepokea msaada wa vifaa vya hosptali venye gharama ya sh bilioni 2 wakati sie tumetumia zaidi ya Bilioni 15 kwenye chaguzi za marudio ambazo karibu zote ni wabunge wale wale walojiuzulu ndo wameshinda!!!
 
Mliopo huko vipi jamani uokoaji umeshaanza? Maana najua mpaka watu waje waamke..
 
Officials were unsure of the amount of passengers, as the official to dispense the tickets drowned, and the machine that documented the data was lost in the wreckage.[4] Initial estimates show the ferry was carrying more than 300 people on board.[3] Hii nayo kali
 
Hiki kivuko hakijazama kwa ubovu kama baadhi ya watu na wanasiasa wanavyopiga propaganda but nadhani kilizidisha uzito.Mungu azirehemu roho za marehemu na azilaze mahala wanapostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…