Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Ukifatilia sababu zilizo pelekea kivuko kuzama utagundua ni zile zile tu.
We'are never SERIOUS on life threatening situations.
We'are never SERIOUS on life threatening situations.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesababisha nimelike kwenye uzi wa majonzi.acha tuisome namba ... Tuliipenda wenyewe ndindiii ... Tuliichagua wenyewe ndindiii
Ccm mbele kwa mbele
Aliyetunga huu wimbo dah
Hamna chochote ni kuleta uswahili tu usio na mashiko.ySi useme tu kilichoonwa unaogopa nini?.... Ajali imeshatokea hakuna siri tena
hela ya kununulia wapinzani ipo ya kuhudumia walipa kodi.... DOROOOOOOOOOO!!! SHAMELESS SHWAINNNNNNNNNNUkerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
hao waokoaji umewaona, hawana zana zozote za kuokolea, yani bare body, wameshindwa kuwa na mitungi ya gesi wakazama chini jamani, nimeshangaa sana maiti zinashikwa with bare hands kweli, daahNimemskia mmoja wa viongozi wetu wanoishi kwa kodi zetu, akihojiwa na BBC Leo asubuhi kwamba kwanini walisitisha uokoaji. Utumbo aliojibu ndo ulio nichosha.
Kwamba, waaliingia kwenye meli na kujiridhisha kwamba hakuna alie hai ambae anahitaji msaada, isitoshe pia waokoaji walikuwa wamechoka kutokana wanatumia mitumbwi kubeba maiti hivyo tukaamua kusitisha uokoaji mpaka kesho.
Huu uongozi wa awamu hii naona kila mtu kichaaa.
kwa niliyoona ukara, hakuna hicho kitengo nahisi kilikuwepo awamu ya 4, awamu hii hakuna aiseeyule mpumbavu hivi alikuwa ni mwanajeshi au mfanyakazi wa hao wajinga temesa au alikuwa mvuvi tu aliyejiongeza?ila ujue kuna marine kabisa wanalipwa mishahara kuhusu mambo ya uokoaji.
Na wapo.
Unaona fahari kabisa kusema kwamba nchi haina vifaa vya uokozi na watu wetu hawana ujuzi??
Yale magari makubwa kubwa wanayoyanunua kwa mapesa mengi kwanini angalau wasiyatumie hayo mapesa kununua mawani zenye tochi?? (angalau mawani zenye tochi tu)
Uokozi wa jana ulikuwa ni kituko!! Sijui ni mitumbwi ile??
Tumechoshwa na ujinga wenu.Hii ajali ingetokea usiku wangefanyaje?
Vifaa vya uokozi lazima ziwe standby hujui ajari itatokea lini na wapi, boti za doria zinafanya kazi 24hrs, nyingi ziko Mwanza jijini, kwa speed za boti hizo kutoka Mwanza hadi kisiwa cha Ukara sidhani itatumia hata nusu saa, afterall ajari imetokea saa 8 kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kufika pale mapema na kuanza maandalizi ya kukabiliana na giza kwa kuandaa taa.
Mbali na boti za polisi za doria kuna helikopta za polisi na jeshi zisingeshindwa kufika pale na kumulika wakati zoezi likiendelea. Ni uzembe fulani tu umefanyika.
Kilikuepo kweli ila wote walikumbwa na zoezi lililomponya bashite pekee.kwa niliyoona ukara, hakuna hicho kitengo nahisi kilikuwepo awamu ya 4, awamu hii hakuna aisee
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
Ni ajabu mkuu maana Jana tumepokea msaada wa vifaa vya hosptali venye gharama ya sh bilioni 2 wakati sie tumetumia zaidi ya Bilioni 15 kwenye chaguzi za marudio ambazo karibu zote ni wabunge wale wale walojiuzulu ndo wameshinda!!!hela ya kununulia wapinzani ipo ya kuhudumia walipa kodi.... DOROOOOOOOOOO!!! SHAMELESS SHWAINNNNNNNNNN
Duh maisha ya kutawaliwa na siasa kichwani ni hatari sana...yani mada nzima imegeuka kuwa jukwaa la siasaIsije kuwa wametoa kafara washenzi hawa