Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!



NASEMA HIVI MIMI nakuelewa sana, wewe watu wakienda kushoto kawaida unapiga kulia na sio bahati mbaya ni makusudi( ila ujumbe ni ule ule wa Kushoto.
#HAPAKAZITU
 
Ilibeba watu 100 wamekufa 130+????????????how
 
Maswali mengine tuwe tunajiuliza kabla ya kuuliza watu... Mbowe akiwepo huko itasaidia nini
 
Nature ya ajali ni ngumu maboya kutumika, unajua ilikuwa upside down ndani ya dakika chache, so ni tofauti na ile inazama huku iko kawaida kiasi hata muda wa kitafuta maboya ungepatikana.

Pia maboya yatakuwa 100, abiria 400+
Dah huu usafiri wa majini ni mbaya sana kama mazingira hayajawa tayari kwa uokoaji likitokea la kutokea.
 
Mkuu ukipata majibu unitaq na mimi
 
Cha ajabu sasa vitu ambavyo ni basic kabisa hatuwezi kufanya, kuwa hata na counterbook litakalo record details za abiria nalo limeshindikana kabisa..


Simply "Basic"
Halafu tumekuwa na past experience ya hii kitu. Tumewahi pata haya majanga.
Na sababu kama hii..

"Boti ilikuwa na zaidi ya watu 400"

3 times the number it's capable of..
 
Umeshapanic!!.......Ukerewe ni jumbo linaloongozwa na mbunge wa Chadema mbona hamumpi ushirikiano. Mbona wakati Sugu anatoka jela KUB alikuwepo!
 
Mabavicha yanang'aka likitajwa jina la Mbowe, halafu yanakuwa makali hayo balaa.
Huyo mwenyekiti wenu mnamficha wa nini? Au mnaona haya vile hajafika huko pamoja na kabineti yake ndio mnatafuta pa kujificha? Oneni aibu hivyohivyo na msijifiche nyuma ya mbowe kufikisha ujumbe wenu. Pelekeni kama ulivyo na uliza kulikoni hatukuoni huku? Wajinga na waoga kuliko mbwakoko lumumba st!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…