NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Wenye moyo safi watachanga usijichanganye kama wewe una roho ya korosho , Rip waliofarikiHutupati ng'o sisi wenye mioyo safi.
1)Madai kwamba kivuko kilijaza kupitiliza,inaashira matatizo katika usafiri wa maji,Hii no siasa toshaDalili zimeanza kuonesha, baadhi ya Wanasiasa kudai watu flani wawajibike,wajiudhuru, mawazo ambayo yako kisiasa zaidi, ni kweli ipo sababu iliyopelekea kutokea ajali hiyo mbaya, sababu zinaweza kuwa ni za uzembe wa kibinadamu,au za kitaalamu(mechanical problems), hivyo kwenda moja kwa moja kwenye(human error) tutakuwa hatuwatendei haki wataokumbwa na sakata.
Itakuwa kisiasa zaidi, hivyo kabla ya yote Mashauri uchunguzi wakina ufanyike, isije kutokea kama ile ya Muhimbili kupasua kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa, maamzi ambayo yalipelekea kuwapoteza !adakitari bingwa wa mifupa na wenye uwezo mkubwa, ambao Mara moja Botswana iliwachukua hadi leo wanafanya maajabu huko.
Ikumbukwe mfano Prof. Kinasha alieleza kwamba alikuwa ameshafanya upasuaji wa kichwa kwa watu 1,008 na wote walipona, na huyu ambaye ni bahati mbaya alikuwa wa 1,009. Sasa akahukumiwa kwa kosa moja tu !!!!
Hii ilikuwa kisiasa zaidi ikiongozwa na Prof. Mwakyusa, Sikatai kuwa uzembe ni mbaya na unaweza kugharimu maisha ya watu, jambo ambalo kamwe halikubaliki wala kuvumilika.
Lakini pia sikubaliani kuona kuwa watu wanaadhibiwa kwa mintarafu ya kisiasa, watu kutafuta kiki za kuonekana na jamii kwamba wamechukua hatua. Ajali hutokea kokote kule hata Ulaya na marekani, mfano Nyambizi ilizama, je nani aliwajibishwa?
Ndege aina ya Conctord iliua watu kibao je nani alifukuzwa kazi? Tusilione limetokea hapa kwetu, sasa ukawa muda wa wanasiasa kuishutumu Serikali nakuitaka kufukuza watumishi wake kwa madai kwamba wamefanya uzembe.
Kikubwa hapa ili Wanasiasa waoneshe kukomaa kwao wanatakiwa kuitaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina juu ya sababu zilizopelekea ajali hii mbaya. Huu ni Ushauri tu na si vinginevyo.
Hili nalo litapita na hazitaisha wiki mbili tutakuwa tumeshasahau. Ndiyo shida yetu. Ukiangalia ajali zilizokwisha tokea siku za nyuma ungefikiri tungekuwa na watu makini kweli kweli. Lakini wapi. Mwaka ujao utakuta kivuko kingine kimebeba watu mara saba ya uwezo wake.Simply "Basic"
Halafu tumekuwa na past experience ya hii kitu. Tumewahi pata haya majanga.
Na sababu kama hii..
"Boti ilikuwa na zaidi ya watu 400"
3 times the number it's capable of..
kabisaaa".. rambi rambi hatoi mtu" tume choka kuona " vifo vya ndugu zetu vikigeuzwa " natural resourcesClouds wasije wakaanza kimbele mbele cha kuchangisha. Ya Kagera na Lucky Vicent Arusha yanatosha
hahaa haaKuna rafiki zangu Yohana Makomeo na Mshori Mboga mnawaharibia jamani!
Kila mtu anaehoji mna mweka label ya chadema.Chadema kula kitu mnafeli kuanzia uchaguzi hadi namna ya kutimiza majukumu yenu.....uhakika pengo la Dr Slaa halitazibika!
Bwashee mwambie Mangi Mtuhuru amechemka, au kwa kuwa Kule upepo wa kaskazi hauvumi!umeona takataka with mavi reasoning johnthebaptist
Bila kuwasahau satoRambi ramb zitaliwa Na sangara
Believe me
Mmekusanya RAMBIRAMBI kiasi gani. ?Chadema kula kitu mnafeli kuanzia uchaguzi hadi namna ya kutimiza majukumu yenu.....uhakika pengo la Dr Slaa halitazibika!
Labda pangepewa kipaumbele! Sijui lakini!Mbona mnataka kuleta siasa mpaka misibani, sasa mbunge angekuwa wa chama kingingine angezuia ajali isitokee.
Labda kwa mtutuWenye moyo safi watachanga usijichanganye kama wewe una roho ya korosho , Rip waliofarikiView attachment 873662
Au CHADEMA wanafanya mkutano bahariniNi sawa ila unapokuwa na mfumo ambao watu wake hawajajiandaa na majanga, pindi linapotokea hata akili ya kujiongeza hawana!! Na tatizo kubwa pia ni kutegemea vivuko vya abiria ndio vitumike, kwani vingi viko mwanza na kutoka mwanza hadi huko ni parefu na vingi unakuta viko kwenye safari zake!!! Ila waambiwe kuna magendo ziwani, utaziona zile boti za kwenye movie
Mi ntatoa 100k we ngap ?Bila kuwasahau sato
Asee nimekomenti huu uzi kwa kukumbukia hicho kibao cha nguli na manju wa muziki na mashairi Marijani Rajabu.Aise imenikumbusha wimbo wa Marijani Rajabu.........Dunia ya sasa imani imekwisha mioyo ya watu imebadilika wala hakuna uaminifu tena.............
kumbeee " hahaa " Daaahh aibu sana AiseeYaani hadi Rais Kenyata kasema watatoa msaada wa vitu vitakavyohitajika kwa uokozi tu. Nadhani amestukia zile bati n.k bukoba. Haha hahaaa. Cha kufanya ni kuwatembelea wafiwa manyumbani tu.