AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Mmevurugwa nyie kwa kushindwa hata kuokoa watu sababu tuu ya gizaNi kama umevurugwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmevurugwa nyie kwa kushindwa hata kuokoa watu sababu tuu ya gizaNi kama umevurugwa!
Mi natoa milioni 100 ila nitapaa na helikopta yangu hadi Ukerewe na kukabidhi wafiwa mkononiMi ntatoa 100k we ngap ?
Hawa wabeba mabox wakifisha rambirambi ya Tsh 100,000 tu. Naleft JFWatu wanaandaa koo ya kulambaView attachment 873658
Kama vipi?Kama
Kama hivi.
Swali lipi zuri. Mnaua watu makusudi halafu mtake watu wakimbilie kule? Kunyweni damu na kula hizo nyama ambazo mlidhamiria. Wakati mbunge anawaambia msije kutuma rambirambi mlikuwa mnaimba mbere kwa mbere.Swali zuri.
Helikopta ya kuchoraMi natoa milioni 100 ila nitapaa na helikopta yangu hadi Ukerewe na kukabidhi wafiwa mkononi
hapo nimeingizi itakadi ya chama gani! au akili yako ndio inawaza vyama tu!Ndugu yangu kuomboleza ni MILA NA DESTURI, DUNIANI KOTE, hata Marekani kila mwaka ikifika September 11, wanaombieza "Airplane bomming of WTO!!??!!, Kwahiyo Serikali yetu kupeperusha nusu Mlingoti ni ishara ya kuomboleza kwa wa Tz waliofariki ajalini, kwenye majanga kama haya usiingize itikadi za Vyama!!!??!
Majonzi unayo wewe peke yako?mtaigiza Sana kulia na kujifanya mna majonzi lakini michango hatutoi,tutatoa directly kwa wahanga.Kwani wewe umesema tusichange nini, aliemtukana mwenzie na kumwita fisi mbona hujamuuliza hilo swali, acheni mambo ya hovyo katika hiki kipindi cha majonzi ,
Acha ujinga wako kwenye mambo serious. Astray d*gSasa ukioneshwa live kipi kinaongezeka kwako? Watanzania mbona mna viherehere hivyo...kama umeguswa sana si uende eneo la tukio ukasaidie uokoaji?
Watu 126 wasimamishe shughuli za watu wengine 50m?
Ebu kuwa serious mkuu...
noted with thanks! Enjoy your eveningI take my word back, sorry!
Ngoja tumalize msiba halafu yutashughulika na siasa baadaye. Hatimaye lazima watu fulani watawajibika na watakuwa ni hao hao wanaotuongoza; na KUB hawezi kuwa mmoja wa watakaowajibishwa.ZIMETUMIKA 80 BILLION TSH KUNUNUA WAPINZANIA/(CHAGUZI ZA WABUNGE) NA MADIWANI BADALA YA VIVUKO SITA, JIBU HILI , TRY AS MUCH AS YOU CAN TO AVOID AD HOMINEN ARGUMENTS!
Naona una ID mbili Msukule wa LumumbaSawa mende mwekundu
TUTACHAGA CASH na misaada mingine itakayohitajika , cash zako kanywee mbege#No Cash#
Hilo gari kwanini hawakulitupa humo kwenye maji kabla meli kuzama