Anategemea rambirambi kumalizia esijiara moro-dodoma. Mwambieni akakope chinakabisaaa".. rambi rambi hatoi mtu" tume choka kuona " vifo vya ndugu zetu vikigeuzwa " natural resources
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anategemea rambirambi kumalizia esijiara moro-dodoma. Mwambieni akakope chinakabisaaa".. rambi rambi hatoi mtu" tume choka kuona " vifo vya ndugu zetu vikigeuzwa " natural resources
"Airplane bomming of WTO!!??!!,
sasa yale magari Ya kuwasha washa" mnayoyatumiaga wakati wakampeni " si muyauze tu" ili mnunue " vifaa tija" vitakavyo saidia uokozi kwenye majanga kama haya "... Au yale magari wakati huu yanafaida gani"...Jamani mlitaka sfanye nini wakati hakuna vifaa vya kuokolea muda huo?? Na sio kwamba atakuwa alijiamulia tu mwenyewe, hao wazamiaji hawana vifaa vya kufanyia kazi kwenye mwanga itakuwa gizani?? Ni aibu kwa nchi, hatuko tayari kwenye majanga!! Ya nchi kavu tu yanatushinda itakuwa ya majini??
Siyo kuonyesha miili inavyoopolewa. Watangazaji wanatakiwa wawe kribu na kutoa updates, mahojiano na kila habari inayohusiana na ajali. Vipindi vingine vinasitishwa kwa muda.Kuhusu TBC kujiunga mubashara waoneshe nini sasa ? Ki ubinadamu sio sahihi.mi nimeona clip za ile miili whatsapp sio busara kuionesha kwenye TV
Labda mungu wa MagogoniHela ya mwenye roho ya korosho , Mungu haipokei , kwa hiyo wewe usichange , hela yako tumia utakavyo , na wengine wenye roho
kama yako wakutumie wewe ukanywee mbege.
Mbowe ni RAIA wa kawaida?!
Ngoja tumalize msiba halafu yutashughulika na siasa baadaye. Hatimaye lazima watu fulani watawajibika na watakuwa ni hao hao wanaotuongoza; KUB hawezi kuwa mmoja wa watakaowajibishwa.
nyingine za mahayawani wa ufipaNaona una ID mbili Msukule wa Lumumba
Hii point imeniliza mieTz kunavifaa vya kudhibiti maandamano tu.
HatuchangiWewe ulitaka tuchange na wakina nani? TUTACHANGA
Wakati mzee Mwinyi anajiuzulu alikuwa kwenye zile mahabusu walizojaza watu hadi wakafa ? Kwanini Mzee alijiuzulu badala ya RPC ,OCD nk ?
Nyie Mungu wenu anaishi Hai kilimanjaroLabda mungu wa Magogoni
Kibanga Ampinga Mkoloni natamani sana upinge ukoloni mambo leo ndani!KOsa lake nini?
au yeye ndiye alileta hiki kivuko?
Jiulize wziri wa Ujenzi alikuwanani ?
TUTACHANGAHatuchangi
Nashangaa TV zetu zilikuwa busy kuonyesha Royal wedding lakini kwenye tukio hili tunakosa live coverageNdugu wanabodi:
Hivi sisi Watanzania nano katuloga? TBC na vyombo binafsi vimeshindwa kujiunga mubashara kwenye shughuli ya uopoaji maiti lakini hats kupiga nyimbo za maombolezo imeshindikana kweli?
Nimesema shughuli ya uopoaji kwa sababu serikali ingekuwa serious na maisha ya Watanzania wenzetu ingepeleka jenereta jana ili shughuli ya uokoaji iendelee Jana usiku.
Watanzania zaidi ya 126 ni msiba mkubwa wa taifa lakini radio na luninga ya taifa wameshindwa kujiunga mubashara hatua kwa hatua badala yake wanaendelea na mambo yao yasio na maslahi kwa Taifa.
Naamin kwa Wazungu habari ingekuwa ndio hiyo kuwa mubashara muda wote kwa kila kituo cha luninga na redio.Na wasingekubali kusitisha shughuli ya uokoaji eti kisa giza
Tumeshindwa kuthamini uhai wa wenzetu, kweli ngozi nyeusi ni wabinafsi haijapata kutokea
Mods huyu ana ID mbili Fagix na Kennanyingine za mahayawani wa ufipa
Unasemaje kinena?Nyie Mungu wenu anaishi Hai kilimanjaro