[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kumbe Janali alikuwa anawaimba akina Yohana na Mboga wa Arsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kumbe Janali alikuwa anawaimba akina Yohana na Mboga wa Arsha
Hebu rudia kusoma ulichojibu na ulicho ulizwa , halafu rejea qoute yako ya msingi niliyo kuuliza hayo maswaliMzee Mwinyi alijiuzulu kwasababu yeye wkati ule alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani.
Pili, kesi hiz mbili zinatofautiana wakati hili ni janga ile kesi ya Shinyanga haikuwa ni janga.
Ukisema hivyo hata waziri hana sababu za kufanya hivyo kwa maana na yeye kuna mahali ame-delegate power, mwisho wa siku utakosa wa kumwajibisha!!Kwa nini a resign?
Nini maana ya delegation of duties?
Hahahaa pole sana,sijui matusi yametoka wapi wakati ni jina lako mwenyeweCha mama yako, mnywa mbege
Mtambuka ni jitu zima kabisa lakini angalia maneno mdomoni kama lina domo la choo!Kama
Kama hivi.
Stupid answerUlitaka waokoaji nao wafe kwa kukosa vifaa vya kuokolea usiku hyo ndipo ujue walikuwa na uchungu wa watu waliozama, Na wewe jitafajari umeteleza [emoji102] [emoji102]
Mwanza kuna polisi wanamaji, walikuwa wapi wakati chombo kinajaza kuliko uwezo wake. Ninja Lugola anapaswa kumwajibisha RPC au ajiuzulu.
hahaa china anapahofu" akishindwa kurejesha rejesho watachukua chatle airport ileAnategemea rambirambi kumalizia esijiara moro-dodoma. Mwambieni akakope china
Mimi nimeona ni swali zuri, sasa wewe shauri yako.Swali lipi zuri. Mnaua watu makusudi halafu mtake watu wakimbilie kule? Kunyweni damu na kula hizo nyama ambazo mlidhamiria. Wakati mbunge anawaambia msije kutuma rambirambi mlikuwa mnaimba mbere kwa mbere.
Sawa wewe domo lako hulioni sio?Mtambuka ni jitu zima kabisa lakini angalia maneno mdomoni kama lina domo la choo!
Kama lilivyo la mama yako mlevi wa mbegeHahahaa pole sana,sijui matusi yametoka wapi wakati ni jina lako mwenyewe
Acha ujinga, tangu mchukue uamuzi wa kuwa majuha na mapoyoyo basi mnazomoka tuNilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!