Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Wanasubiri Mfalme Jiwe aende.
 
Mbunge alishapambana sn kivuko kingine kipatikane but CCM na serikali yao wakagoma kuwapatia wananchi.
 
Hivi ile ajali ni mpango wa Mungu au binadamu?
Ujinga wa serikali haijali maisha ya wananchi wake, huwezi kuwaachia wananchi wasafirie chombo kisicho na usalama. Ni sawa na jiwe kusafiria bajaji


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kwanini yeye mwenyewe asijiuzulu?
Mangu alitolewa sababu ni mtu wa Singida ili Lissu ashughulikiwe na wasiojulikana. Nchemba naye alitolewa sababu ni mtu wa Singida anaweza kuwa na sympathy kwa issue ya Lissu. Ninja kujiuzulu au kuambiwa kujiuzulu inaweza kuwa ngumu sababu anatokea kanda pendwa.
 
Rsis Magufuli amekemea kuingiza siasa katika msiba wa kitaifa.
Sijui nyie watu mkoje?
 
Kusema vifaa na giza ni hoja dhaifu sana.
Muda ajali imetokea haukutosha kwa kamati ya maafa mkoa wa Mwanza au kitaifa kuandaa vilivyohitajika ili kuongeza ufanisi wa zoezi zima la uokozi!?
Juzi rais alikuwa ana back up ya helicopta kama tatu hewani zilishindwa kutoa waokozi maeneo mbalimbali ya Tanzania?. Haya tulishindwa hata kuwaomba Rwanda, kenya , Uganda vifaa kwa masaa hayo machache?. Kitu ninachoamini vingefika angalau mpaka leo miili yote ingekuwa imepatikana na kesho au keshokutwa ingepumzishwa.
 
Ndugai kaenda huko kama spika wa wabunge wote? Au ndiyo mpasuko wazi wazi kiitikadi umeota mizizi hadi kwa watu wa kawaida?
 
Nimemskia Kepteni akifanya uchambuzi Azam tv, anadai sababu ya kuzidisha uzito haina mashiko sababu kama issue ingekuwa uzito kivuko kingezama Ukerewe.
 
Huu Msiba Wetu Sote
Rais Ameonya Kujitafutia Sifa Haifai
 

Nimekuelewa mkuu asante sana
 
Trafik waache kukusanya pesa barabarani...wasimamie usalama wa Raia.Kuna watu hawajanielewa.
 
Sipati picha lile la kigongo ferry likizama night aisee itabidi mpaka asubuhi ndio watu waokolewe. Alafu lile la kingongo halina taa huwa gari ya mbele inaombwa kuwasha full light ili igote. Shuhuda wa pili wa hili njoo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…