Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
ni jambo la heri kuomboleza kwa ajili ya wahanga. lakini namna uokoaji ulivyofanyika kuna watu wanapashwa kuwajibika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwana ccm atakayeiona pepo
Bi show kwenye ubora wake walahiMay be ajali ingekuwa imetokea kanda yake!! Yuko busy anaongea na waandishi wa habari.
Ukishakariri kizungu ndio unajionaa. Acha kuiba iba mtandaoni, weka chanzo chako wewe.Schizophrenia
a long-term mental disorder of a type involving a breakdown in the relation between thought, emotion, and behaviour, leading to faulty perception, inappropriate actions and feelings, withdrawal from reality and personal relationships into fantasy and delusion, and a sense of mental fragmentation.
(in general use) a mentality or approach characterized by inconsistent or contradictory elements.
Ni kweli kuna mtu ana sifa hizo, ndilo la msingi! Popote nilipotoa is a source of credible knowledge!Ukishakariri kizungu ndio unajionaa. Acha kuiba iba mtandaoni, weka chanzo chako wewe.
UPUUZI MTUPU.Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
Tatizo la tabia ya ukewenza kila wakati unawashwawashwa na kumshukia mumeo.Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
Ni lini watanzania tutajifunza na kisha kuchukua hatua ili majanga kama haya yasitokee?
tunaweza tukamlaumu shetani kumbe ni ujinga wetu!
Tunasahau Utadhani kuku. Unamkimbiza na kisu akikuzidi mbio unamwacha unarudi na chakula na kisu unamwita anakuja.Hili nalo litapita na hazitaisha wiki mbili tutakuwa tumeshasahau. Ndiyo shida yetu. Ukiangalia ajali zilizokwisha tokea siku za nyuma ungefikiri tungekuwa na watu makini kweli kweli. Lakini wapi. Mwaka ujao utakuta kivuko kingine kimebeba watu mara saba ya uwezo wake.
Mnisaidie. Kwahiyo hatuendi kazini?
Sijui maombolezo si mapumziko?
Kwani huwa yanaibwa ??Maboya ya kujiokoa yalikuwa yamefungiwa stoo kwa kufuli kubwa!
Siasa tu hapa unafanya ,lisingetokea hili ungesema nn!.ujuaji for nothingKatika sehemu ambazo serikali yetu inabugi ni prioritisation ya mambo, mtizamo huu unafikirisha kiukweli na unafanya tuzidi kupata picha halisi za wanasiasa kwamba ni wepesi sana kutamka na kufanya maamuzi ya kijumla jumla bila kuzingatia mahitaji halisi ya wananchi wao kwa nyakati na maeneo husika.
Ni ajabu mtoto anamuomba baba mkate na baba anamletea toy, sio kwamba mtoto hatashukuru, la hasha! Lakini hilo kwa wakati huo sio Hitaji lake kuu. Serikali isishupaze shingo, ifanye maamuzi sahihi na yakuwafaa wanachi wake kwa mipango ya sasa na ya baadae kwa kufuata vipaumbele.
Rasilimali ni zawadi ya wenye eneo husika, basi watu waone matunda ya baraka za nchi yao wangali wapo hai, hao marehemu waliotangulia mbele za haki pengine wapo waliopiga kura za ndio kwa CCM (haku zao kikatiba), wakatumbuliwa kwa vyeti feki (makosa ya kawaida katika kutafuta mkate wa kila siku), wakabananishwa kwenye hicho kivuko (uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika na ufinyu wa miundombinu ambayo husimamiwa na mamlaka husika), wakakosa life jackets ( uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika) mpaka sasa hatupo nao tena.
Yawezekana ni kweli haki yapatikana mbinguni pekee.