Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

ni jambo la heri kuomboleza kwa ajili ya wahanga. lakini namna uokoaji ulivyofanyika kuna watu wanapashwa kuwajibika.
 
Sio John tu ,kuna mlolongo wa viongozi wanapaswa kujitafakari asa ofisi ya waziri mkuu kitengo cha kushughulikia majanga
 
Schizophrenia

a long-term mental disorder of a type involving a breakdown in the relation between thought, emotion, and behaviour, leading to faulty perception, inappropriate actions and feelings, withdrawal from reality and personal relationships into fantasy and delusion, and a sense of mental fragmentation.

(in general use) a mentality or approach characterized by inconsistent or contradictory elements.
Ukishakariri kizungu ndio unajionaa. Acha kuiba iba mtandaoni, weka chanzo chako wewe.
 
Makada wa CCM humu JF huwa mnatia huruma, yaani mpo busy kusifia rambirambi za Putin badala ya kufunika uso kwa aibu ya utendaji kazi mbovu wa serikali yenu. Mbunge wa Ukerewe alishatabiri haya na kuomba kivukio kirekebishwe lakini mkaziba maskio....

Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
UPUUZI MTUPU.
 
Tatizo la tabia ya ukewenza kila wakati unawashwawashwa na kumshukia mumeo.
Umesahau sheria haimruhusu kufanya shughuri katika jimbo ambalo si lake, unataka akakamatwe.
 
Ni lini watanzania tutajifunza na kisha kuchukua hatua ili majanga kama haya yasitokee?

tunaweza tukamlaumu shetani kumbe ni ujinga wetu!

Tafadhali usiseme "ujinga wetu wote", sema ujinga wa wote wenye maamuzi ns mamlaka!!

Wengine, we are so intelligent. Hatuko kwenye level ya ujinga wa dizaini hii. Yuwaachie wao na ujinga wao hata kama watakataa, lakini ukweli wa " ujinga" uko right into their faces!!
 
Hili nalo litapita na hazitaisha wiki mbili tutakuwa tumeshasahau. Ndiyo shida yetu. Ukiangalia ajali zilizokwisha tokea siku za nyuma ungefikiri tungekuwa na watu makini kweli kweli. Lakini wapi. Mwaka ujao utakuta kivuko kingine kimebeba watu mara saba ya uwezo wake.
Tunasahau Utadhani kuku. Unamkimbiza na kisu akikuzidi mbio unamwacha unarudi na chakula na kisu unamwita anakuja.
 
Katika sehemu ambazo serikali yetu inabugi ni prioritisation ya mambo, mtizamo huu unafikirisha kiukweli na unafanya tuzidi kupata picha halisi za wanasiasa kwamba ni wepesi sana kutamka na kufanya maamuzi ya kijumla jumla bila kuzingatia mahitaji halisi ya wananchi wao kwa nyakati na maeneo husika.

Ni ajabu mtoto anamuomba baba mkate na baba anamletea toy, sio kwamba mtoto hatashukuru, la hasha! Lakini hilo kwa wakati huo sio Hitaji lake kuu. Serikali isishupaze shingo, ifanye maamuzi sahihi na yakuwafaa wanachi wake kwa mipango ya sasa na ya baadae kwa kufuata vipaumbele.

Rasilimali ni zawadi ya wenye eneo husika, basi watu waone matunda ya baraka za nchi yao wangali wapo hai, hao marehemu waliotangulia mbele za haki pengine wapo waliopiga kura za ndio kwa CCM (haku zao kikatiba), wakatumbuliwa kwa vyeti feki (makosa ya kawaida katika kutafuta mkate wa kila siku), wakabananishwa kwenye hicho kivuko (uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika na ufinyu wa miundombinu ambayo husimamiwa na mamlaka husika), wakakosa life jackets ( uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika) mpaka sasa hatupo nao tena.

Yawezekana ni kweli haki yapatikana mbinguni pekee.
 
Natuwe Pole Sotee.

Ila Tutasahau Sisi Lakini Si Familia Za Marehemu!

Mola Awape Nguvu Na Subira Zaidii Wafiwaa!

Ile Miili Inavyobebwa Na Kuvutwa kwenye Yale Maji ndo Naona Ni jinsi gani Aina Thmni Hii Miili Tunayoilingia! Pumzi Yatupa Jeuri Sana BinAdam.
 
Mnisaidie. Kwahiyo hatuendi kazini?
Sijui maombolezo si mapumziko?

Kazini unaenda ila muda wote unatakiwa uwe unalia tu au kuwa na Sura ya / Nyago la Huzuni huku moyoni mwako ukiwatukana matusi ya ' Kutukuka ' kabisa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wamesababisha huu ' mkasa ' wa kusikitika kabisa uliochukua maisha na Ndugu, Jamaa na Marafiki zetu bila hatia yoyote ile.
 
Katika sehemu ambazo serikali yetu inabugi ni prioritisation ya mambo, mtizamo huu unafikirisha kiukweli na unafanya tuzidi kupata picha halisi za wanasiasa kwamba ni wepesi sana kutamka na kufanya maamuzi ya kijumla jumla bila kuzingatia mahitaji halisi ya wananchi wao kwa nyakati na maeneo husika.

Ni ajabu mtoto anamuomba baba mkate na baba anamletea toy, sio kwamba mtoto hatashukuru, la hasha! Lakini hilo kwa wakati huo sio Hitaji lake kuu. Serikali isishupaze shingo, ifanye maamuzi sahihi na yakuwafaa wanachi wake kwa mipango ya sasa na ya baadae kwa kufuata vipaumbele.

Rasilimali ni zawadi ya wenye eneo husika, basi watu waone matunda ya baraka za nchi yao wangali wapo hai, hao marehemu waliotangulia mbele za haki pengine wapo waliopiga kura za ndio kwa CCM (haku zao kikatiba), wakatumbuliwa kwa vyeti feki (makosa ya kawaida katika kutafuta mkate wa kila siku), wakabananishwa kwenye hicho kivuko (uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika na ufinyu wa miundombinu ambayo husimamiwa na mamlaka husika), wakakosa life jackets ( uwajibikaji mbovu wa mamlaka husika) mpaka sasa hatupo nao tena.

Yawezekana ni kweli haki yapatikana mbinguni pekee.
Siasa tu hapa unafanya ,lisingetokea hili ungesema nn!.ujuaji for nothing
 
Back
Top Bottom