Baba lake
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 170
- 214
Kwa mtizamo wako unadhani wakisema bara la Afrika lina ujinga unafikiri ni swala na twiga wa serengeti? Au mapiramid ya Egypt? Yaweza kuwa wewe mwenyewe ukawa unaliongezea bara let asilimia kadhaa bila kulitambua hilo.Siasa zile zile za kiafrika, zilizojaa malalamiko. Inapopitishwa bajeti ya mawasiliano na miundo mbinu wabunge wanatoka nje na kupinga.
Mungu kwa unyenyekevu mkubwa liondolee ujinga bara la Afrika, limeteseka na kuendelea kuteseka.
Ajali zinatokea mpaka kwenye nchi zilizoendelea, tatizo hapa lipo kwenye demand ya watu na kivuko husika, our government could have done better before yet they still have all what is required to sort it out