Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
du
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaijua Tanzania vizuri au mgeni ata buku wanaweza kukaa sembuse 400Watu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Sijajua, shida ni nini hasa!Lakini hata hatujifunzi utadhan ni tukio la kwanza yani
Hapa bongo hapatabirikiWatu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Nashangaa kauli hii anaanzaje kuitoa mtu timamu?Zoezi la uokoaji limesitishwa hadi kesho kutokana na giza nene ziwani. Miili 44 imeokolewa na mahututi 37
Abiria 100 mpaka 400Kupinduka au....?!!
MV bukoba ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 400!Watu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Hiyo huwani tabia ya meli zote zinapozidisha mzigo hupunguza uzito wa chini li msari usonekane kuzama iruhusiwe kuondoka, meli inapoondoka mzigo unakuwa evenly distributed hivyo meli kuwa stable, stability hukosekana inapokaribia kufika ambapo abiria wengi hutoka sehemu walizokuwa wamekaa na kurundikana sehemu moja (mfano Mv Bukoba) na kwa kuwa chini maji yanayotakiwa kuipa stability meli yametolewa meli hupinduka.Kwahiyo tangia hiyo meli ianze kufanya safari miaka yote hiyo leo ndio wamepunguza maji kwenye hayo MABOYA ya chini?
Inawezekana ikawa mchanganyiko wa sababu zote hizo ulizotaja.Sijajua, shida ni nini hasa!
1. Tamaa ya wenye vyombo hivyo mpaka kuzidisha abiria?
2. Elimu ndogo ya abiria kuhusu usalama wao na vyombo wanavyovitumia?
3. Uhaba wa vyombo vya usafiri?
4. Kutojali kwa wenye mamlaka?
San lg ina uwezo wa kubeba abiria wawili ila unaweza kukuta imebebeshwa abiri zaidi ya watanoWatu 400 sio kweli, kivuko hakina uwezo huo, hata sehemu ya kukaa tu ni shida
Nimecheka sana!Abiria 100 mpaka 400
sababu zote ni sahihiSijajua, shida ni nini hasa!
1. Tamaa ya wenye vyombo hivyo mpaka kuzidisha abiria?
2. Elimu ndogo ya abiria kuhusu usalama wao na vyombo wanavyovitumia?
3. Uhaba wa vyombo vya usafiri?
4. Kutojali kwa wenye mamlaka?
TATIZO NI MAZOEA MKUU,KWAMBA "MIAKA YOTE HUWA INABEBA HIVI NA HAIJAPINDUKA"Sijajua, shida ni nini hasa!
1. Tamaa ya wenye vyombo hivyo mpaka kuzidisha abiria?
2. Elimu ndogo ya abiria kuhusu usalama wao na vyombo wanavyovitumia?
3. Uhaba wa vyombo vya usafiri?
4. Kutojali kwa wenye mamlaka?
bodaboda inahamisha familiaHapa bongo hapatabiriki
Bajaji inabeba watu 9