Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo umeridhika na kauli kua uokoaji hauendelei sababu ya giza ??? Mungu uyu [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mlikopeleka akili zenu nyie watu Mungu ndo anajua, hivi kwelikuna binadamu anaweza kukaa ndani ya maji tokea saa nae mchana hadi usiku akawa hai? anapumua kwa matamvua? kivuko kimepinduka karibuna ufukweni ho watu waliokuwa wakitapata usiku kucha uliwaona pekeako? according to you ni hekima kurisk uhai wa walio hai (waokoaji)ili kurecover maiti?!!! upuuzi wa hali ya juu.
Tena wanaweza kujenga usiku na mchana lakini kuokoa roho za watu usiku eti hawawezi. Hii ni awamu ya ajabu mno!Tuna flyover, reli ya umeme, barabara, etc.. we are on ze raiti traki. Tutembee vifua mbele
Hizo bombadia za kubebea waccm kumuunga mkono rahisiEti ilipofika saa 12 jioni ilibidi wasitishe uokoaji kutokana na kukosa taa mpaka leo asubuhi! Yaani baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru tumekosa taa ya kumulikia au kupeleka umbali usiozidi mita 200 ziwani?! Hivi hata kama vifaa vilikuwa Dsm au Mtwara si wangechukua bombadia moja au hata Dream yetu na kujaza vifaa na waokoaji na kuwapeleka eneo la tukio? Kama hilo nalo lilikuwa gumu si wangepakia genereta kwenye boti na kuipeleka karibu na tukio na kuliwasha kupata mwanga? Hivi hata wangewaomba watu wa fiesta wawape yale mstaa yao si yangesaidia? Mimi sijaelewa kabisa! Sasa leo wanaokoa au wanaopoa?
hahahahaaMods tupo tunakunywa chai
Usitusumbue
So what!? This is news bana!!!Haya umekuwa wa kwanza andika vizuri sasa
Connect the dots! Ni juzi tu Jiwe alikuwa hukoWamekifanyia matengenezo juzi tena kwa million 150.. Hatari sana kwakweli
mkuu sio hivyo na hayajakukuta, si tunalo jeshi la majini, kweli jeshi la majini linashindwa kuwa na vifaa vya kuokolea usiku, hata kama wameshakufa, hii ni aibu, na jeshi la majini lipo, achana na wale wavuvi waliokuwa wanasaidia kutoa miili wakiwa hawana zana zozote zaidi ya mikono yao, imenisikitisha sanakwahyo wewe ulitaka atoe jibu gani kwa mfano?
waokoaji wameingia kwenye kivuko wakajiridhisha hakuna aliye hai.. na zoezi likabadilika kutoka uokoaji kuwa uopoaji
kuendelea na zoezi ilikuwa ni kuhatarisha usalama wa hao waopoaji .. sidhani kama kungekuwa na watu walio hai ndni ya kivuko zoezi lingesitishwa sema tu lisitishwa kwa sababu wanejiridhisha hakuna akiye hai
sema kuna watu mnajifanya mnajua kuongea na kuongoza nchi wakati hata familia ya kuiongoza bado hujaipata..
embu basi sema ulitaka waendelee kutoa maiti hadi usiku wa manane? unajua changamoto za uokoaji majini?
Mimi nimesikiliza kwenye radio muda siyo mrefu wamesema wamefika 94 waliolala usingizi wa mauti na miili yao kupatikanaKwa mujibu wa mwananchi mida ya saa nne asubuhi mkuu wa mkoa amesema ni miili 86 imeopolewa..Ukijumlisha na wale hai waliookolewa inaonyesha kivuko kilikuwa na watu wengi kuliko idadi inayostahili ya watu 101.
Unaweza weka hyo vdeo hapo
Wengine insata gram hatukujui
Swaleh amesema nbonyeze reli ndo ntaingia ...nmebonyeza hadi kidole kinauma ... Sijaingia
Zanzibar tutaendaje weyeeeeHee.., mbona unatutisha wa huku Kigamboni? ,ndio maana nasema pajengwe daraja pale, hamsikii..