Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukifikilia kwa makini utaona kuna umhimu mkubwa wa kurekodi taarifa za abiria wanao wa majini kuliko abiria wa nchi kavu

Gari ikipata ajali ni rahisi kupata idadi ya waliokua wakisafili, lakini ajari za majini hua tunaishia kukisia tu.... Kadhaa wamekufa.

Wale tunao safili gafla gafla bila tarifa kwa ndg zetu tubadikike.
Tiketi zinaweza ku determine idadi
 
Ni vyema yakatolewa majina ya waliokufa kwenye hiyo ajali maana kuna wengine hawana ndugu huko na ni watafutaji maisha tu walikuwa kwenye mapambano, hivyo yakitolewa majina itakuwa rahisi kwa watanzania wengi kujua, hii yakuita watu wakatambue ndugu zao mambo ya zamani sana..

Idadi ya majeruhi wanajulikana majina yao, Majina ya waliokuwa kwenye kivuko lazima yapatikane then unatoa hao majeruhi na yatakayobaki ndio watakuwa marehemu unayaprint kila mtu anayaona.
Ni vizuri huo ushauri na majina nadhani wanayo huko kwa wale wenye utambulisho watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutembea na utambulisho na namba ya mtu wa karibu ili muda wote unaokuwa nnje ya nyumba yako au safari yoyote kikazi,ofisini uwe na ki card au karatasi umeandika sehemu utokayo na namba ya ndugu wa karibu maana emergency zipo hasa ajari na kuuguwa ghafla au kufa ....
 
Hii idadi kuongezeka ya vifo ni kutokana na tamko la usitishwaji wa zoezi la kuokoa manusura wa ajali maana inawezekana hawa watu walikuwa hai wakipambana kutoka lakini kwa sababu ya kukosa msaada na hivyo kuishiwa nguvu wamekufa kama lingeendelea kuna uwezekano mkubwa hata nusu wangepona ila ndiyo hivyo tena viongozi wetu hawapo kwa maslahi ya wanaowaongoza maana kiongozi anayejali by any means angepambana hata kwa local technology kuokoa watu wake maana kwa mita 100 siyo eneo hatarishi sana kwamba kunaweza kuwa hatari kwa waokoaji na ziwa Victoria siyo sawa na Tanganyika kusema lina kina kirefu sana
 
haahhaahah majibu ya watanzania waliochoshwa na huu upumnavu yanafurahisha
Chadema wengi ni mambumbu, hajui kuwa mambo kama haya ndio huwa yanawapa credit ccm!

Wao wanafiki kupata credit kwa wananchi ni kuitisha mikutano au maandamano na kuanza kubwata hili na lile!

Majanga kama haya yanapotokea wananchi wanaona nani kaja kuwa pamoja nao! Sasa wewe endelea kuita ni ujinga.
 
hebu wataalam mtusaidie, mtu anaweza kukaa majini kwa muda gan kabla ya kuokolewa?
Akizama chini ya maji dk 10 hazipiti Kwa wale wasioijua kuogelea.....shock ama panic hupelekea mtu kuvuta pumzi nyingi...hivyo kwa dharura kama ile huchukui round ukizama chini ya maji
 
Chadema wengi ni mambumbu, hajui kuwa mambo kama haya ndio huwa yanawapa credit ccm!

Wao wanafiki kupata credit kwa wananchi ni kuitisha mikutano au maandamano na kuanza kubwata hili na lile!

Majanga kama haya yanapotokea wananchi wanaona nani kaja kuwa pamoja nao! Sasa wewe endelea kuita ni ujinga.
ok
 
Awamu ya tano ni awamu ya majanga, hapo CCM wanasubiri zitangazwe rambirambi wakwapue kapu lote.....kufa kufaaana
 
HIVI UNAPOSEMA KUWA ZOEZI LA UOKAJI LIMESITISHWA MPAKA KESHO KWA SABABU YA GIZA KUINGIA HUKU WATU WAKIWA WANAPIGANIA UHAI WAO CHINI YA KIVUKO KWENYE MAJI UNATEGEMEA NINI? SIJAWAHI KUONA MKUU WA MKOA BOGASI KAMA MONGELLA AISEE.DAH SHAME UPON HIM KUMBE NILIVYOAMBIWA KUWA YEYE NA MZEE JIWE WANAPISHANA MPAKA IKAFIKIA MZEE KUMTIMUA KWENYE NYUMBA YA MKUU WA MKOA AKAKAE URAIANI LEO NDIO NAAMINI.ANGEKUWA MAKONDA NDIO MKUU WA MKOA WA MWANZA AISEE WATU KARIBIA WOTE WANGEEZA KUOKOLEWA NA TENA WAKIWA HAI KABISA.MONGELLA EBU JIWAJIBISHE KABLA TINGATINGA HALIJAKUKUMBA.
Tena angekua makonda hakuna raia hata mmoja angepona, woote wangekufa
 
Mkuu wa mkoa wakati wa kutoa tamko la kusitisha zoezi alikuwa na qualified divers wangapi kwenye tukio, alikuwa na rescue team ya watu wangapi, alikuwa na rescue boats na gears za kiasi gani. Je wakati anatoa hilo tamko madivers wangapi walishafika chini na ndani kabisa ya kivuko na kumpa report gani, kabla ya kutoa tamko la kusitisha na giza ni maiti ngapi ziliopolewa na divers kutokea ndani, na watu wazima kiasi gani waliopolewa?.. Kusimamisha zoezi la uopozi usiku wakati tukio limetokea masaa kadhaa yaliyopita halikuwa jambo la busara ni bora wangebaki wakizuga kuliko kutoa tamko kama hilo, zipo namna nyingi za kufanya operations za namna hiyo usiku, JE KABLA YA KUTOA TAMKO ALICHUKUA TAHADHARI GANI KUHAKIKISHA KAMA ITATOKEA KUNA WATU WAZIMA CHINI HAWATAKUFA KWA NAMNA YEYOTE ILE? (wale watoto walionasa thailand jambo la kwanza lililofanyika ni kuhakikisha kwanza exact location yao, hewa yakutosha inafiki, na ikiwezekana hata chakula kinafiki au glucose ili wasurvive kwanza halafu operations za kuwatoa zinaendelea)..

LENGO LAKWENDA SHULE NI KUPATA MAARIFA NA AKILI ZITAKAZOKUWEZESHA KUFIKIRI MAMBO MBALIMBALI KWA HARAKA KABLA YA KUTOA MAAMUZI (MAAMUZI LAZIMA YAWE YENYE MANUFAA), TOFAUTI NA HAPO HATA UWE PROFESA UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA MTU ASIYESOMA KABISA
 
Chadema wengi ni mambumbu, hajui kuwa mambo kama haya ndio huwa yanawapa credit ccm!

Wao wanafiki kupata credit kwa wananchi ni kuitisha mikutano au maandamano na kuanza kubwata hili na lile!

Majanga kama haya yanapotokea wananchi wanaona nani kaja kuwa pamoja nao! Sasa wewe endelea kuita ni ujinga.
Yaani umpe mtu sumu afu uhudhurie mazishi yake Ili upate credit kwa wafiwa? Ulitegemea wapinzani waende huko ili waambiwe wanafanya mikutano ya kisiasa wawekwe ndani!?
 
Chadema wengi ni mambumbu, hajui kuwa mambo kama haya ndio huwa yanawapa credit ccm!

Wao wanafiki kupata credit kwa wananchi ni kuitisha mikutano au maandamano na kuanza kubwata hili na lile!

Majanga kama haya yanapotokea wananchi wanaona nani kaja kuwa pamoja nao! Sasa wewe endelea kuita ni ujinga.
Kama yanawapa credit mbona wanaiba kura badala ya kupewa kura? Nenda kamdanganye mumeo!
 
Back
Top Bottom