Hope rashidi
New Member
- Sep 11, 2018
- 1
- 0
Mungu awapumzidhe kwa amani,japo hakuna aliyedhani yatakuwa hayo yaliyotokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhaaahaahaahahahaRais ajiuzulu tu kulinda utu wake na atasamehewa kwa yote.
Hii ndio fursa oohoooo!
Amefariki mwaka 2009 katika Hospital ya Bugando alikokuwa anapatiwa matibabu kwa kuugua kwamuda mrefu.Yule wa mv bukoba nasikiaga anaokotaga makopo singida
Wapo na makazi yao ni Nera. Na chuo wanacho NyegeziHivi mwanza kuna marine?
Unahisi atakuwa hajui kuogelea?Nategemea kusikia naodha naye amefariki maana nasikia naodha lazima awe mtu wa mwisho kutoka chomboni.
Sasa mpk watu wote hao wamekufa nategemea naye amefariki otherwise ajibu maswali yote yatakayo husisha kuzama kwa kivuko hiki.
Mhh haipo hiyo Africa!!Rais ajiuzulu tu kulinda utu wake na atasamehewa kwa yote.
Hii ndio fursa oohoooo!
heshima kwako mkuu.Amefariki mwaka 2009 katika Hospital ya Bugando alikokuwa anapatiwa matibabu kwa kuugua kwamuda mrefu.
Nilibahatika kumfahamu maana mwaka 2008 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuonana naye nyumbani kwake huko Mwanza
Wahisani watafurahi na faster kutufadhilUtatupa wewe pesa ya kurudia uchaguzi nchi nzima???
Kujiuzulu?!!hata mfe mkoa mzima hajiuzuluuuRais ajiuzulu tu kulinda utu wake na atasamehewa kwa yote.
Hii ndio fursa oohoooo!
UmejuajeAmefariki ndio
Vipi wewe mwenzetu huafuatilii matukio ya hili janga?Umejuaje
Hawezi kuweka kwa kua kule kwa mpinzaniiikwa niliyoona ukara, hakuna hicho kitengo nahisi kilikuwepo awamu ya 4, awamu hii hakuna aisee