Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule wa mv bukoba nasikiaga anaokotaga makopo singidaAmefariki ndio
Yaani hata mm nimeshangaa sana hii nchi sjui tulilogwa na nani??Nimesikitishwa sana na taarifa ya mkuu wa mkoa wa Mwanza akisema eti zoezi la uokoaji wa maiti na wahanga wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere ihairishwe kwa sababu ya giza.
Najaribu kuwaza mpaka miaka hii na karne hii ambayo sayansi na technology ni kubwa lakini bado Giza linakuwa ni changamoto kwa nchi ya Tanzania.
Kupitia matangazo ya DW,wanasema mpaka jana saa mbili usiku walikuwa wakisikia milio ya watu wakingonga gonga kwa ndani kuashiria kuwa bado wapo hai.
Hii ina maana kama zoezi la uokoaji lingekuwa
125 people ni wengi sana kwakweli
nimecheka bila kupenda!eti vita ya kirafiki!
!
Yule Jamaa Alifanya Jambo La Kijinga Mno Aisee. Hawa Wanalipwa Kuvunja Matofali Kwa Kichwa Ila Shughuli Hakuna. Kungekuwaga Na Vita Vya Kirafiki Tungejipima
Acheni hizo chanzo cha ajali ni kuelemewa kwa kivuko kivuko cha watu 100 kikabebe zaidi ya watu 200 na mizigo unategemea nini?Mkuu kumbuka pia na habari ya mbunge aliyetolea ufafanuzi bungeni swala la hicho kivuko
Utatupa wewe pesa ya kurudia uchaguzi nchi nzima???Rais ajiuzulu tu kulinda utu wake na atasamehewa kwa yote.
Hii ndio fursa oohoooo!
Watu wanacheza Mpira usiku we unasema hamuwezi kuokoa watu wana kufa na maji uck kucheza mpira na kuokoa maisha ya watu bora nnNimesikitishwa sana na taarifa ya mkuu wa mkoa wa Mwanza akisema eti zoezi la uokoaji wa maiti na wahanga wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere ihairishwe kwa sababu ya giza.
Najaribu kuwaza mpaka miaka hii na karne hii ambayo sayansi na technology ni kubwa lakini bado Giza linakuwa ni changamoto kwa nchi ya Tanzania.
Kupitia matangazo ya DW,wanasema mpaka jana saa mbili usiku walikuwa wakisikia milio ya watu wakingonga gonga kwa ndani kuashiria kuwa bado wapo hai.
Hii ina maana kama zoezi la uokoaji lingekuwa
Yani ni Uzembe wa hali ya juu mkuu,mita 50 unashindwa vipi kuokoa watu?Na zoezi bado laendelea. Kinachonisikitisha ni huo umbali. Maana yake ingekuwa huko katikati ya ziwa asingepona mtu.
Mkuu kumbuka pia na habari ya mbunge aliyetolea ufafanuzi bungeni swala la hicho kivuko