ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kweli kabisa njiani wengine ukionekana dereva hujafunga mkanda tu balaa unaandika 30 wao wanasababisha majanga makuu hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makada wa CCM humu JF huwa mnatia huruma, yaani mpo busy kusifia rambirambi za Putin badala ya kufunika uso kwa aibu ya utendaji kazi mbovu wa serikali yenu. Mbunge wa Ukerewe alishatabiri haya na kuomba kivukio kirekebishwe lakini mkaziba maskio....
Sitatoa hata senti tano kipande ! ujinga ni wakati wa kwenda tu .Wakati wa tetemo la ardhi Bukoba na watoto waliofariki kwa ajali Arusha,serikali ililalamikiwa kubadirisha matumizi ya rambimbirambi. Badala ya kupatiwa wahanga moja kwa moja ikaelezwa kuwa kiasi kitajenga miundombinu. Wananchi walilalamika kamba ile ni kazi ya serikali.
Leo watanzania tumepatwa na janga kubwa limetuumiza na halitapoa milele. Ni budi tukakumbushana mambo muhimu wakati wa msiba.
Tukahamasisha pia wale waliojiapiza kutotoa rambirambi kwa misiba ya kitaifa kama hii. Serikali ijitafakari iepuke kusema rambirambi zitajenga miundombinu ya kifuko.
Nyongeza
Rais Magufuli ameguswa sana na msiba huu,naamini yupo njiani kuja kuwapa pole wananzego.
Nyongeza 2
Siasa zitaepukwa msibani,kila mtu ana haki ya kutoa pole,awe Lowasa,Mbowe au Sumaye
Kwa niaba ya wanaJF wote, tunasema tumeumia sana.
Hili tukio halijakufunua bado macho kuona kwamba Kivuko kilikuwa kinahitajika, jaribu kuoanisha idadi ya watumiaji wa usafiri huo na uwezo wa chombo wenyewe.vipaumbele vipi hivyo ambavyo serikali hii havijaguswa
Halafu tunaipeleka kusikojulikana?Tunakusanya kodi Kwa kasi ya ajabu ...
Wakara sio kambale..wakina mama, wazee na watoto nao wangetoka?Mkuu tatizo ni chombo kimebinuka wengine wakiwa ndani wamekaa kwenye siti na wengine imelalia kwao kikawafunika. Hapo wale wliorushwa majini kutoka upande ambao hikubinukia ndo hao unaona wanaelea ila wengine wote wamefunikwa.
Kama chombo kingesimama kwanza halafu litolewe tangzo watu wachupe majini wajiokoe chombo kitazama baada ya dakika 3 kwa mfano, nakuhakikishia wakara wote wngefika ng'ambo salama
Ghafla mbaya sana!!!
NA Vp kuhusu vifaa vya uokozi baada ya ajali kutokea!Hilo ni kweli kabisa na engines zilinunuliwa na serikali sikivu ya JPM na zikafungwa vizuri kwenye pantoni kutekeleza ombi la mbunge lakini kilichosababisha ajali sio ubovu wa engine bali over loaded
Hivi hizi ajali za meli Tanzania huwa ni kafara au vipi? Yaani toka 8mchana mpaka Giza kinaingia hakuna hata helicopter ya kurandaranda