Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Amani iwe nanyi wapendwa.

Rais wetu mpendwa Dr Magufuli jana ametoa salamu za pole kwa wote waliofikwa na msiba kutokana na ajali ya Mv Nyerere, pia salamu hizo zimelengwa kwa watanzania wote kwa ujumla ndiyo maana akatangaza siku nne za maombolezo na bendera za taifa kupepea nusu mlingoti nchi nzima.

Jambo la pili amewashukia kama mwewe baadhi ya wanasiasa viherehere waliofilisika kichwani ,ambao kwao ajali ya Mv Nyerere wameigeuza kuwa fursa ya kupata kiki kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kutokea ajali hiyo mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe aliitisha vyombo vya habari na kuanza kutafuta kiki kwa kujigeuza mahakama na kuanza kushutumu na kuhukumu watu kwa mambo asiyoyajua vizuri.

Pia Zito Kabwe na James Mbatia hawakuwa nyuma katika kutumia msiba huu kama mitaji yao ya kiki za kisiasa .
Inasikitisha sana viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kuwahi eneo la ajali kwenda kutoa msaada kwa wapiga kura wao ,wanabaki twiter kukejeli wafiwa na kujijenga binafsi kisiasa bila kutoa msaada wowote!!!

Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwavua nguo hawa wanasiasa uchwara ,wachumia tumbo na wanafiki ,ambao wao muda wote wanawaza siasa tu huku vyama vyao vikiwafia kwa kukimbiwa na wananchi..
Naona umechizika, unanilazimisha kumshukia Mbowe! Unawashwawashwa.
 
Litoa uz kama hl eti nalo litabwa bwaja hakuna uhuru TZ wa kujieleza, rubbish!! Chochez kabisa hl
 
Amani iwe nanyi wapendwa.

Rais wetu mpendwa Dr Magufuli jana ametoa salamu za pole kwa wote waliofikwa na msiba kutokana na ajali ya Mv Nyerere, pia salamu hizo zimelengwa kwa watanzania wote kwa ujumla ndiyo maana akatangaza siku nne za maombolezo na bendera za taifa kupepea nusu mlingoti nchi nzima.

Jambo la pili amewashukia kama mwewe baadhi ya wanasiasa viherehere waliofilisika kichwani ,ambao kwao ajali ya Mv Nyerere wameigeuza kuwa fursa ya kupata kiki kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kutokea ajali hiyo mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe aliitisha vyombo vya habari na kuanza kutafuta kiki kwa kujigeuza mahakama na kuanza kushutumu na kuhukumu watu kwa mambo asiyoyajua vizuri.

Pia Zito Kabwe na James Mbatia hawakuwa nyuma katika kutumia msiba huu kama mitaji yao ya kiki za kisiasa .
Inasikitisha sana viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kuwahi eneo la ajali kwenda kutoa msaada kwa wapiga kura wao ,wanabaki twiter kukejeli wafiwa na kujijenga binafsi kisiasa bila kutoa msaada wowote!!!

Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwavua nguo hawa wanasiasa uchwara ,wachumia tumbo na wanafiki ,ambao wao muda wote wanawaza siasa tu huku vyama vyao vikiwafia kwa kukimbiwa na wananchi..
yani wewe mleta mada tangu muende kupima DNA namke wako nakuthibitika watoto watano uliowalea toka kuzaliwa ukidhani ni wako kumbe imethibitika ni wa Mbowe.

Kinachokuuma zaidi hao watoto wana damu ya kichaga ingekuwa nafuu labda baba yao angekuwa kanda ya ziwa.

Walrus wewe
 
Utafikiri sisi wote hatuna akili.Hao ni wanasiasa maarufu sana ndani na nje ya Tanzania.Ni wabunge na wanaeleweka.Hawahitaji msiba kuwa mtaji wao,mtaji tayari wanao ndiyo maana ni wabunge.Lengo ni kuzua watu wasihoji uzembe wa namna uokoaji ulivyofanyika,ukosefu wa vipaumbele na usitishaji uokoaji eti sababu ya giza.Hata wanasiasa wasipoongea,picha zinaongea pia.
Aisee! Umetumia vizuri sana ubongo wako kuwaza mambo yenye maana na faida kubwa sana kwa jamii ya watanzania!
 
Amani iwe nanyi wapendwa.

Rais wetu mpendwa Dr Magufuli jana ametoa salamu za pole kwa wote waliofikwa na msiba kutokana na ajali ya Mv Nyerere, pia salamu hizo zimelengwa kwa watanzania wote kwa ujumla ndiyo maana akatangaza siku nne za maombolezo na bendera za taifa kupepea nusu mlingoti nchi nzima.

Jambo la pili amewashukia kama mwewe baadhi ya wanasiasa viherehere waliofilisika kichwani ,ambao kwao ajali ya Mv Nyerere wameigeuza kuwa fursa ya kupata kiki kisiasa.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kutokea ajali hiyo mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe aliitisha vyombo vya habari na kuanza kutafuta kiki kwa kujigeuza mahakama na kuanza kushutumu na kuhukumu watu kwa mambo asiyoyajua vizuri.

Pia Zito Kabwe na James Mbatia hawakuwa nyuma katika kutumia msiba huu kama mitaji yao ya kiki za kisiasa .
Inasikitisha sana viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kuwahi eneo la ajali kwenda kutoa msaada kwa wapiga kura wao ,wanabaki twiter kukejeli wafiwa na kujijenga binafsi kisiasa bila kutoa msaada wowote!!!

Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwavua nguo hawa wanasiasa uchwara ,wachumia tumbo na wanafiki ,ambao wao muda wote wanawaza siasa tu huku vyama vyao vikiwafia kwa kukimbiwa na wananchi..
Mpendwa Wenu na nani?
 
Hao wanasiasa ndio waliosimamisha uokoaji kisa giza wakaenda nyumbani kulala na wake zao, kweli jiwe ni chizi!
 
Utafikiri sisi wote hatuna akili.Hao ni wanasiasa maarufu sana ndani na nje ya Tanzania.Ni wabunge na wanaeleweka.Hawahitaji msiba kuwa mtaji wao,mtaji tayari wanao ndiyo maana ni wabunge.Lengo ni kuzua watu wasihoji uzembe wa namna uokoaji ulivyofanyika,ukosefu wa vipaumbele na usitishaji uokoaji eti sababu ya giza.Hata wanasiasa wasipoongea,picha zinaongea pia.
Unaishi karne hii ya 21 kwa makosa sana, kwa akili zako mwisho wako ulitakiwa uwe karne 16!
 
Ndo maana hatuendelei , si kwa kuendekeza uzembe huu China hii mijitu ambayo iko responsible kwa hicho kivuko ni kunyongwa tu , ifikie mahali tuache kuleana we huwezi kusababisha maisha ya watu wengi hivyo kupotea halafu unaachwa tu kuendelea kusurvive , he'll no they don't deserve that a damn bit , we should execute those bastards in an open sight with rocket launcher grenades............
 
Back
Top Bottom