Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Sumatra wana cha kutueleza,sio kumuachia Mungu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKhaa, accross with?
Sitasahau MV bukoba iliondoka na ndugu zetu zaidi ya 800.Binaadam na kusahau kupo
Kuna meli iliokuwa imekula nyomi la watu na mizigo kama MV BUKOBA??
Lawama zilikua kama hizi za Mv Nyerere
Ohh!!meli/fery ilikua Over Loaded!!Ohh,hamna uboreshaji mzuri wa waokoaji.
Tena kibaya zaidi Mv Bukoba waliitoboa kwa moto wa gesi ndio ikazama kilaiiiini,,na maelf ya watu walipoteza maisha
Je kuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa waliohusika/kusababisha hio ajali??
Cha msingi tuendelee tu kuwa wastahamilivu na tuzidi kumuomba mola wetu atuepushe na majanga haya
!
!
Kujieleza Kazi Sana.