Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

DD59F0FF-EC48-4255-A81F-AB065F895BE7.jpeg
 
Mtu mwenye akili hawezi kulisikitikia wala kulifurahia jambo la kijinga mnajenga mabarabara ya juu maeneo nyingine wkt wanchi wengine wana lundo la shida poleni wafiwa walokufa mungu awaweke panapowastahili
huwez kusikitikika kwa waliofiwa kwa sababu hakuna ndgu yako aliyekufa
 
Mkuu wa mkoa ajiuzulu tu eti tuliona wote wamekufa tukasitisha


Pathetic
 
Nahodha aliyefariki ni Deiwaka tu(alipewa aendeshe ingawa hausiki na uendeshaji wa Mv nyerere).Nahodha ambaye ndo alitakiwa kusafiri na chombo ndo huyo ameshikiliwa na polisi kwa kosa la kumuachia Deiwaka aendeshe.
Aliyehai naye angenyongwa tu, haiwezekani umeaminiwa wewe na wewe ukajipa ufalme na kumpa mwengine. Jamani tunachezeana sana, ni sawa hizi dala dala za mijini mara nyingi hupewa madeiwaka kuendesha na wao hukaa bar kunywa bia na kulala na wanawake. Hawastahili huruma kwakweli
 
Maji sio mchezo kama wenyewe wanamaji waoshinda humo kila siku yanawafanya hivyo sijui mimi ambaye hata Swimming pool naliogopa inakuwajee
 
Back
Top Bottom