Vitalis Konga
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 127
- 231
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha weweKwa Hiyo Bendera Zake Kazishusha Kiunoni Maana Bendera Zote Ninapepea Nusu Mlingoti.
Zitaenda kununua meli mpya. Au kwa nini wasinunue helikopter ya kuzunguka visiwani?Sipingani na utaratibu wa kawaida wa kuchangiana na kuwafairiji wenzetu waliopatwa na huu msiba mkubwa...
Ila serikali yetu badala ya kuongeza nguvu kwenye uokoaji wa watu wanakimbilia kuchangisha rambi rambi...
Hatujasahau
1.rambirambi za luck vicent iliyouaa watoto wetu
2. Rambirambi za tetemeko la ardhi
Je na hizi zitawafikia walengwa???
Ningefurahi kama ungesema tangulia mwanafunzi, tunakuja.View attachment 874824Tanguli mwanafunzi, ndoto zako zimezimika ghafla.
Kikwetu ni dawa ya mbuSorry, kangi lugola ndo Nani?
Usitukane mamba kabla hujavuka mtoAisee kifo kishenzi sana
Ndiyo itapunguza idadi ya maiti kwenye maji??Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana
Mm mwenyewe APA wameniacha. Njia panda kabisa nkifikiria nashindwa elewa abiria wanasababishaje imbalance ya kiasi icho kuna wengine wanasema dereva alipiga kona kali na mzigo kulemea upande mmoja that's more sensiblewanabodi tafadhalini naomba msaada wa kufikiria maana mimi naona kama nafikia etc,
hivi kweli watu wachache wanaoweza kusogea kwaajili ya kuteremka wanaweza kusababisha imbalance ya chombo kikubwa kilichobeba magunia na magari yenye mzigo mzito?
kwani na magari yalisogea au ilikuaje na magunia je yalisogea ili yateremshwe?
nashimdwa kuelewa kama ni kiki au ni nini,, haingii akilini hata kidogo. magunia 100 yanaweza kuwa na kilo 10000 na kama kulikuwa na gari lenye vifaa vya ujenzi inaweza kuwa ni kama kilo 2000,..jumla ni kilo 12000,,, na kwa idadi ya watu 400 wanaweza kuwa na uzito wa kilo 20000,,,je inamaana kwamba watu wote walisogea kwenye kale kanafasi kadogo na kusababisha hiyo imbalances? maana haiwezekani... ile nafasi ya kuteremkia huwa si kubwa kiasi kwaba watu wote 400 wasogeepo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
we are in the left track indeed.
ndugu kama ni mweusNichukue kiti nikae hapa front
Hahaa, majina mengine dahKikwetu ni dawa ya mbu
Pia nikashifa kwa mtu kusema eti ferry ilikuwa inaongozwa na "dei waka" , huyu ndiye mtu gani? Neno hili haliko kwenye lugha yeyote hapa Duniani. Kuweni makini kabla ya kupost chochote. Ni aibu..kuna upuuzi mkubwa zaidi ya taarifa kwamba kivuko kilikuwa kinaendeshwa na "dei-waka."?
..taarifa hizo zimeichafua nchi.
Cc tindo, Pascal Mayalla, Richard
Mbona hutupiii!Unawezaji kuzuia mafuriko kwa mkono?
Ajue tu sasa ndio kabisa ameharibu!
Alafu wasitake kuturudisha enzi za ujima!