Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningemsifia kama angezuia vifo visiwe vingi kwa kuharakisha uokozi kwenye ajali. Hayo Mengine ni UPUUZI TUKwani mafuriko ya Lowasa hayakuishia kwenye kiganganja kimoja tu cha Mh.Kinana??
Nipo jirani kabisa!Wewe umeenda?
Anajulikana mkuu!Si umseme mkuu
Hata akizipata na serikali yote ipo huko ni marufuku kukusanya watu na kupiga picha nao!Anasubiri rambi rambi ziingie toka Ulaya akabadili matumizi.