Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachanganye na ndizi uvimbiwe!Utumbo huu
Ana pacha wake mr maspoon!Mbowe ni mtu mbaya sana,watu wanalia yeye anatafuta ujiko wa kisiasa
Hakuna aliekulazimisha kamandaTumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Haaaaahaaaa kauri za wanasiasa ni janga kubwaHili siwezi kuchanga.
Sijasahau ya Kagera.
Tutakuja kuambiwa serikali haikupindua pantoni na wala kwenye kampeni hatukuahidiwa pantoni kupinduka.
Watu wabaya sana hawa,wamefeli kwenye uchaguzi wakajaribu kutumia msiba kujipatia ujiko wa kisiasaAna pacha wake mr maspoon!
Hakika mkuuSichangi ng'oo
Kwahyo kikinunuliwa kivuko watapanda bure au ndo utakuwa mradi wa ccm?Hakuna aliekulazimisha kamanda
Mnapenda kunung'unika wakati misiba,kwani kikinunuliwa kivuko si kitawasaidia huko huko au kitapelekwa Kenya?