Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ni janga lipi alishawai kuhudhuria ukilinganisha na ufunguzi. Mliposema vio gozi wa siasa wasifanye siasa mlitaka aende mpate la kusem

Kwa hiyo CDM hawajashiriki mazishi au hata kuwafariji wana Ukerewe, jimbo lililo chini ya CDM kwa sababu walikuwa wanajua pia Magu hatahudhuria??
 
Viongozi wa upinzani wamekasilishwa sana na tamko la mbunge wa Ukerewe (CDM) kuwa, mapungufu aliyowasilisha Bungeni, serikali iliyafanyia kazi! Viongozi wake wamechukulia kuwa amewazodoa kwa kiki waliyotarajia kuipata kupitia msiba huu.

Bila shaka Mbowe alitegemea Mbunge atetee uongo na uzushi wake, ila kwa aibu angetuma hata mwakilishi, si wana viongozi wa kanda hawa? Kweli kutoka Mwanza hadi Ukerewe wameshindwa?
 
Mbona hamumulze mzee Baba (mimi kutokwenda na huwa siendag tuu)
 
Hela ipewe watoto au wazee wa wafiwa ili ipate kuwakizi manake wengine walikuwa wategemezi wao. Sasa huo mnara utamfaidisha nini mfiwa? Bora mpatie hela japo ajifungulie ajira na kuanza kujitegemea mwenyewe. Kama serikali inataka kuweka mnara wa kumbukumbu itowe hela yake wenyewe sio za michango.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Walikuwa wanakutana na matarafiki
 
Kama nchi ndani ya chama kijani hapo ndipo walipotufikisha kwa miaka 50+.
 
Mnatoa tu maneno ya kejeli, hivi angekuwa ni ndugu yako amefariki ungeropoka hivi? Kwa tabia hii , kejeli hizi mnategemea kweli Ukerewe itarudi CDM 2020 ? Au mnasubiri mje kusingizia mmeibiwa?
Watachaguliwa na matarafiki
 
Back
Top Bottom