Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ktk hicho kivuko sifikiri kama kuna sehem au vyumba vingi kama huko alikokuwa injinia, naweza sema baada ya nusu saa kupita aliyebaki salama huko chini ni injinia tu.Kwenye kivuko hakuna sehem nyingine salama kdg zaid ya huko kwa injinia na huko hawaingii watu wengine zaid ya injinia tu.Kama kivuko kilikua kinazama basi uwezekano wa watu kukimbilia huko ni mkubwa coz kuzama ni process tofaut na kupinduka na kwa hesabu hizo hakuna binadamu wa kukaa ndani ya maji zaid ya hata nusu saa akawa HAI nje ya huyo injinia na kwa maana hiyo kivuko kilipinduka saa 8 maximum hadi kufika saa tisa hakuna aliyebaki HAI nje ya injinia. Hivyo zoez lililokuwa linafanyika kuanzia saa tisa na kuendelea halikuwa UOKOAJI bali UOPOAJI,hata wangekesha usiku kucha bado walikua wanafanya UOPOAJI.kama wanajua kuna vyumba maalum mtu anaweza kukaa huko kwanini wasitishe zoezi? huoni walikuwa warisk maisha ya huyo aliyekuwa kwenye hicho chumba?
Andiko lako refu lkn kinachofanya liwe nonsense ni kushindwa kutofautisha kati ya KUZAMA na KUPINDUKA. Kivuko KIMEPINDUKA sio KUZAMA so hizo habari za radio call na mavitu gani vingefanyika saa ngap?Meli au kivuko kinapozama hii ni process na hapa nahodha hutoa taarifa juu ya jambo husika na hapa hata abiria uweza kuchukua vifaa vya kuogelea na kujitosa majini lkn kwa kivuko hiki hapo hakuna cha taarifa ya hatar wala nini zaid watu wanashtukia dude limewamwaga na hata huyo nahodha naye huwa mhanga pia kidogo injinia ambaye yuko kwenye chumba maalum yaani air pocket ndio anaweza pona.Wakati mwingine najaribu kuwaza zangu kimya kimya,hivi kwnye haya ma meli,vivuko, ndege Naonaga wana ma radio yao yale yakuongelea nadhan huwa ni kuwasiliana na walio Nchi kavu au kituo wanachoenda(sijui sana kuhusu hilo).
Sasa swali ninalojiuliza kivuko kimeanza kuzama kama mita 100 kutoka ufukweni ina mana Nahodha wa meli alipoona kivuko kinamshinda kwavyovyote vile alikua na mawasiliano na watu wa Nchi kavu kuwajulisha hali ilivyo ndani ya kivuko,sasa nataka kujua hao watu wa nchi kavu walipopata taarifa za kivuko kuwa katika hali mbaya wao walishindwa nin kuwasha Maboat kuchukua ma helcopter na kwenda kukizingira kivuko na kuanza uokozipale pale??
Haiingiii akilini eti kivuko kizame mita 100 tu toka nchi kavu halafu wafe watu wote hao na kati ya walio okolewa wameokolewa na wavuvi na si vyombo husika? ina mana wahusika walikaa kimya wasubiri kivuko kizame chotee kisha iundwe kamati ya uokoaji ndipo waende kuanza kuokoa,kwelii??
Naangaliaga kwenye mamuvi huko mameli yakiwa yanazama utaona dk sifuri ma speed boat ya patrol yashafika kwenye meli husika na uokoaji unaanza pale pale yani wakati meli inazama watu wanaendelea kuokolewa hata kwama wataokufa wangekuepo lakini naamini Isingekua kwa idadi kubwa kiasi hicho.
Kwa jicho langu linavyoona ukiachilia mbali uzembe wa binadamu ktk Aajli hii ila tukija kuangalia kwa jicho la kiroho Hii ajali was PLANNED kbsaaaa huwezi nambia eti kivuko kizame mahali ukisimama nchi kavu unakiona halafu wapotee watu wengi hivyo,atleast tungesema ni UZEMBE 100% kama ingekua hata kat kat ya ziwa huko mahali hata watu hatuwezi kuona kinachoendelea.
Ina mana kwa ajali ilivyotokea kuna raia wa nchi kavu walikua wanashuhudia kivuko kinavyobinuka taratbu mpk kinavyolala majini na muda wote huooo watu wanashuhudia sidhan kama ilikua n tukio la bdk 1 au mbili ninaamini kilitumia hata zaidi ya nusu saa kubinuka taratbu mpk kuwa juu chini.
Lakini ajabu ni kwamba tangu kinaanza kibinuka mpk knagota kbsa chini hamna Uokoaji wa mamlaka husika uliotokea zaidi ya wavuvi
Ila nisiongee sana lkn ktk hili UZEMBE naupa 40% halafu MISSION PLANNED naipa 60%.
nimemaliza (huu ni mtazamo wangu mimi)
au vpi mkuu?asante
Huku sidhani ni kulumbana. Huku ni kukumbusahana madhara ya uzembe. Hili siyo tukio la kwanza. Na kila tukio likitokea watu wanakuja na msemo huo huo wako wa kuhalalisha uzembe ukubalike... ''tusilumbane, yameshatokea, tujipange upya''. Wakati umefika wa kukubali kuwa tuna matatizo makubwa na wahusika wote wapate haki yao ili liwe findisho kwa wengine. Nini? Kivuko cha watu 100 kinabeba abiria karibia ya mara tatu ya uwezo wake halafu unasema tusilumbane? Na hapa bado hujaweka mizigo ambayo ndiyo mizito zaidi.Acheni kulumbana kilichobakia ni kujipanga lisijirudie tena tukio la kizembe namna hiyo
Mimi nadhani hili ni tatizo la sisi kama nchi kuliko serikali ya CCM! Sidhani hata kama ingekuwa ni serikali ya chama kingine hii ajali isingetokea.Serikali ya Ccm imeonyesha udhaifu mkubwa sana.
Nimesema hii SI ajari ya kwanza, Mv bukoba Raisi, Makamu na Waziri Mkuu walishiriki! ILA Ni awamu ya nne!Muhusika mkuu,waziri mkuu unajua ni nani katka hii NCHI? yawezekana bado hujajua wadhifa wa WAZIRI MKUU ukishajua utajua kwann Huyo unaetaka aende hajaenda.
Mbwa wa Nassari ana thamani zaidi ya wala samaki?!!
wengine utafikir hii habar wameipata saa hizi, hivi tangu tarehe 20/9 bdo mtu hajui kilichotokea, anaandika gaxeti zima ambalo liko nje ya kile kilichopo au hawafatilii habar?Andiko lako refu lkn kinachofanya liwe nonsense ni kushindwa kutofautisha kati ya KUZAMA na KUPINDUKA. Kivuko KIMEPINDUKA sio KUZAMA so hizo habari za radio call na mavitu gani vingefanyika saa ngap?Meli au kivuko kinapozama hii ni process na hapa nahodha hutoa taarifa juu ya jambo husika na hapa hata abiria uweza kuchukua vifaa vya kuogelea na kujitosa majini lkn kwa kivuko hiki hapo hakuna cha taarifa ya hatar wala nini zaid watu wanashtukia dude limewamwaga na hata huyo nahodha naye huwa mhanga pia kidogo injinia ambaye yuko kwenye chumba maalum yaani air pocket ndio anaweza pona.
Acha kutetea ujinga,uliambiwa kuzama au kupinduka inakuaga ghafla kama Ajali ya gari,au NDEGE angani au unafkiri kilipoanza kuingiza maji nahodha hakujua? acha kutetea ujinga kbsa Taarifa zilipaswa kutolewa na hatua za uokoaji zngechukuliwa Kuzama au kupnduka n process sio jambo la ghafla bin vuu useme n gari lilipinduka ushndwe shka simu..iwe kuzama au kupinduka chombo lazima kianze kwenda mdogo mdogo hadi kipoteleeee..yani hapo mtu labda anambie yale ma radio call yalikua mabovu ndo ntamuelewa..sina wa kumwelewa mwngine ataekuja na sababu tofaut ya ubovu wa radio call.Andiko lako refu lkn kinachofanya liwe nonsense ni kushindwa kutofautisha kati ya KUZAMA na KUPINDUKA. Kivuko KIMEPINDUKA sio KUZAMA so hizo habari za radio call na mavitu gani vingefanyika saa ngap?Meli au kivuko kinapozama hii ni process na hapa nahodha hutoa taarifa juu ya jambo husika na hapa hata abiria uweza kuchukua vifaa vya kuogelea na kujitosa majini lkn kwa kivuko hiki hapo hakuna cha taarifa ya hatar wala nini zaid watu wanashtukia dude limewamwaga na hata huyo nahodha naye huwa mhanga pia kidogo injinia ambaye yuko kwenye chumba maalum yaani air pocket ndio anaweza pona.
AIR POCKET unaijua wewe? mahali alipopatikana Cherehani ni kwenye chumba cha injini ambacho kile ni maalumu inapotokea ajali kama ile milango ikifungwa maji hayaingiii na si mahali pa kukaa nahodha wala mtu yeyote n kwa ajili ya injini tu..unakuja unajitia unajua jua AIRPOCKET as if unajua hyo airpocket ilipo..Acha story za vijiweni story zenu ishia nazo huko huko sio kujileta hapa kujitia unajua airpocket kisa tu umeskia wavuta bangi wenzio wameitamka.Andiko lako refu lkn kinachofanya liwe nonsense ni kushindwa kutofautisha kati ya KUZAMA na KUPINDUKA. Kivuko KIMEPINDUKA sio KUZAMA so hizo habari za radio call na mavitu gani vingefanyika saa ngap?Meli au kivuko kinapozama hii ni process na hapa nahodha hutoa taarifa juu ya jambo husika na hapa hata abiria uweza kuchukua vifaa vya kuogelea na kujitosa majini lkn kwa kivuko hiki hapo hakuna cha taarifa ya hatar wala nini zaid watu wanashtukia dude limewamwaga na hata huyo nahodha naye huwa mhanga pia kidogo injinia ambaye yuko kwenye chumba maalum yaani air pocket ndio anaweza pona.
tayari kamandaWenzio wanacode ili waziri wa kamata kamata asione nyao weye unataka wafunguke halafu waende jela soma tena utaelewa tu.
Sijakusoma mkuu!jogi, huyajui maji
Pickup ya tani 2, weka mzigo wa tani 4 then uone kitakachokupata!!Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu..
Nafikiri umekasirika baada ya kukufundisha habar za KUZAMA na KUPINDUKA. Huko kwenye chumba cha injini ndiko alikokimbilia au alikuwepo toka mwanzo?Je nje ya huyo jamaa unafikir ni nani mwingine anaweza baki hai zaid ya saa nzima chini ya maji na unafikir anaweza kujificha wapi na ukizingatia kivuko KIMEPINDUKA na sio KUZAMA?AIR POCKET unaijua wewe? mahali alipopatikana Cherehani ni kwenye chumba cha injini ambacho kile ni maalumu inapotokea ajali kama ile milango ikifungwa maji hayaingiii na si mahali pa kukaa nahodha wala mtu yeyote n kwa ajili ya injini tu..unakuja unajitia unajua jua AIRPOCKET as if unajua hyo airpocket ilipo..Acha story za vijiweni story zenu ishia nazo huko huko sio kujileta hapa kujitia unajua airpocket kisa tu umeskia wavuta bangi wenzio wameitamka.
Una maana ni janga la asili kama vile tetemeko la Kagera; mafuriko wakati wa masika Dar?Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.