Baijukya1967
Member
- Dec 7, 2017
- 13
- 6
Je hayo maji wanayoyachota yanafaa kwa matumizi ya nyumbani?tulikua bize kununua wapinzani hili lakivuko likatokea ghafla
tunaomba radhi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je hayo maji wanayoyachota yanafaa kwa matumizi ya nyumbani?tulikua bize kununua wapinzani hili lakivuko likatokea ghafla
tunaomba radhi jamani
Mmmmhaisee
hapo ndio ujiulize kwa nini mtu anakufa kwa kuanguka bafuni wakati maji yako level za nyayo.
Haya mambo tusimuachie Mungu, tujiachie sisi na tume ya uchunguzi
"jogiSijakusoma mkuu!
Kwahiyo kupinduka kivuko kikawa kinapinduka taratibu?Nafikiri hujui unachokiongea zaid ya kuleta hoja za kijinga kukizi mawazo yako finyu.NB Swala la kupinduka ni tofauti na KUZAMA. Sehem ambapo maafisa wa meli wanakuwa ktk nafasi nzur ya kutumia hayo mavideo call na kuomba msaada nchi kavu ni ktk tukio la KUZAMA sio meli kupindukaAcha kutetea ujinga,uliambiwa kuzama au kupinduka inakuaga ghafla kama Ajali ya gari,au NDEGE angani au unafkiri kilipoanza kuingiza maji nahodha hakujua? acha kutetea ujinga kbsa Taarifa zilipaswa kutolewa na hatua za uokoaji zngechukuliwa Kuzama au kupnduka n process sio jambo la ghafla bin vuu useme n gari lilipinduka ushndwe shka simu..iwe kuzama au kupinduka chombo lazima kianze kwenda mdogo mdogo hadi kipoteleeee..yani hapo mtu labda anambie yale ma radio call yalikua mabovu ndo ntamuelewa..sina wa kumwelewa mwngine ataekuja na sababu tofaut ya ubovu wa radio call.
Na huu ndio ukweli wenyewe, so kilichokuwa kinaendelea baada ya dk kumi au nusu saa tunaita UOPOAJI"jogi
View attachment 876280
Actual death may take 3-4 minutes, but this article tells us that, "drowning people can only struggle on the surface of the water from 20 to 60 seconds before submersion occurs." If a person is in the process of drowning, that's your rescue window.
KWA KISWAHILI
Mtu akianguka majini kama wale wa MV. Nyerere ina chukua kati ya sekandi 20-60 kuzama; dakika 3-4 kufa baada ya kuzama
Lakini kuna mtu alikaa usiku kucha ndani ya mv nyerere kaiprove wrong theory yako"jogi
View attachment 876280
Actual death may take 3-4 minutes, but this article tells us that, "drowning people can only struggle on the surface of the water from 20 to 60 seconds before submersion occurs." If a person is in the process of drowning, that's your rescue window.
KWA KISWAHILI
Mtu akianguka majini kama wale wa MV. Nyerere ina chukua kati ya sekandi 20-60 kuzama; dakika 3-4 kufa baada ya kuzama
jogi, yule makenika? si alikuwa kwenye chumba maalumu na hata hajagusana na majiLakini kuna mtu alikaa usiku kucha ndani ya mv nyerere kaiprove wrong theory yako
Huyo unajua alikua wapi?Hata bila theory nenda kwako chukua ndoo weka maji then zamisha kichwa chako dk kumi na urudi kunipa jibu nini kimekutokea.Lakini kuna mtu alikaa usiku kucha ndani ya mv nyerere kaiprove wrong theory yako
Kuna watu walikuwa maji ya shingo kulikuwa na uwezekano wa kuwafikia kabla hawajafunikwa na mma!jogi, yule makenika? si alikuwa kwenye chumba maalumu na hata hajagusana na maji
Hao waliokuwa maji ya shingo walikua wapi?Nani wakuwa maji ya shingo baada ya kupinduka?Hata ambao hawakufunikwa na kivuko sio kweli kwamba mtu nusu saa nzima alikua anatapatapa coz kutoka kilipopinduka hadi nchi kavu ni mita mia,so kwa waliokuwa wanajua kuogelea ilikua rahisi kuogelea hadi nchi kavu na wasiojua ndio hivo waliowah kuokolewa waliokolewa. Hakuna mtu asiyejua kuogelea akatapatapa ndani ya maji zaid ya nusu saa.Nimeoga mtoni,ziwani na baharini hivi vitu haviwezekani.Kuna watu walikuwa maji ya shingo kulikuwa na uwezekano wa kuwafikia kabla hawajafunikwa na mma!
Inauma sana uimagine.
tunakusanya hela tukanunue reli..
tutengenezee sifa !
mwitikio wa rambirambi umedorora mara hii, maana watu wanaogopa michango yao kwenda kuhongewa na kutumika kufanyia vikao vya vyama ikulu.
Lakini kuna mtu alikaa usiku kucha ndani ya mv nyerere kaiprove wrong theory yako
PICHA YA SIKU: MAISHA LAZIMA YAENDELEE...
Wakazi wa Bwisya wakichota maji katika ufukwe wa Ukara, Ziwa Victoria kwa ajili ya matumizi ya nyumbani jana. Eneo hilo ni jirani na sehemu kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere. Picha na Michael Jamson
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
AIR POCKET unaijua wewe? mahali alipopatikana Cherehani ni kwenye chumba cha injini ambacho kile ni maalumu inapotokea ajali kama ile milango ikifungwa maji hayaingiii na si mahali pa kukaa nahodha wala mtu yeyote n kwa ajili ya injini tu..unakuja unajitia unajua jua AIRPOCKET as if unajua hyo airpocket ilipo..Acha story za vijiweni story zenu ishia nazo huko huko sio kujileta hapa kujitia unajua airpocket kisa tu umeskia wavuta bangi wenzio wameitamka.
Dude liligeuka bwana, huo muda wa kutafuta radio call husingeweza kupatikana.Acha kutetea ujinga,uliambiwa kuzama au kupinduka inakuaga ghafla kama Ajali ya gari,au NDEGE angani au unafkiri kilipoanza kuingiza maji nahodha hakujua? acha kutetea ujinga kbsa Taarifa zilipaswa kutolewa na hatua za uokoaji zngechukuliwa Kuzama au kupnduka n process sio jambo la ghafla bin vuu useme n gari lilipinduka ushndwe shka simu..iwe kuzama au kupinduka chombo lazima kianze kwenda mdogo mdogo hadi kipoteleeee..yani hapo mtu labda anambie yale ma radio call yalikua mabovu ndo ntamuelewa..sina wa kumwelewa mwngine ataekuja na sababu tofaut ya ubovu wa radio call.
wengine utafikir hii habar wameipata saa hizi, hivi tangu tarehe 20/9 bdo mtu hajui kilichotokea, anaandika gaxeti zima ambalo liko nje ya kile kilichopo au hawafatilii habar?
Nimesema hii SI ajari ya kwanza, Mv bukoba Raisi, Makamu na Waziri Mkuu walishiriki! ILA Ni awamu ya nne!
Hamna kilichopungua maana is something like your own mother has passed away unawakilishwa na mke! There won't be anything wrong kimtazamo!'nimewakilishwa' kwani kuna kilichopungua?
Hamna kilichopungua maana is something like your own mother has passed away unawakilishwa na mke! There won't be anything wrong kimtazamo!