Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Sijakusoma mkuu!
"jogi
1537786081190.png

Actual death may take 3-4 minutes, but this article tells us that, "drowning people can only struggle on the surface of the water from 20 to 60 seconds before submersion occurs." If a person is in the process of drowning, that's your rescue window.

KWA KISWAHILI

Mtu akianguka majini kama wale wa MV. Nyerere ina chukua kati ya sekandi 20-60 kuzama; dakika 3-4 kufa baada ya kuzama
 
Acha kutetea ujinga,uliambiwa kuzama au kupinduka inakuaga ghafla kama Ajali ya gari,au NDEGE angani au unafkiri kilipoanza kuingiza maji nahodha hakujua? acha kutetea ujinga kbsa Taarifa zilipaswa kutolewa na hatua za uokoaji zngechukuliwa Kuzama au kupnduka n process sio jambo la ghafla bin vuu useme n gari lilipinduka ushndwe shka simu..iwe kuzama au kupinduka chombo lazima kianze kwenda mdogo mdogo hadi kipoteleeee..yani hapo mtu labda anambie yale ma radio call yalikua mabovu ndo ntamuelewa..sina wa kumwelewa mwngine ataekuja na sababu tofaut ya ubovu wa radio call.
Kwahiyo kupinduka kivuko kikawa kinapinduka taratibu?Nafikiri hujui unachokiongea zaid ya kuleta hoja za kijinga kukizi mawazo yako finyu.NB Swala la kupinduka ni tofauti na KUZAMA. Sehem ambapo maafisa wa meli wanakuwa ktk nafasi nzur ya kutumia hayo mavideo call na kuomba msaada nchi kavu ni ktk tukio la KUZAMA sio meli kupinduka
 
"jogi
View attachment 876280
Actual death may take 3-4 minutes, but this article tells us that, "drowning people can only struggle on the surface of the water from 20 to 60 seconds before submersion occurs." If a person is in the process of drowning, that's your rescue window.

KWA KISWAHILI

Mtu akianguka majini kama wale wa MV. Nyerere ina chukua kati ya sekandi 20-60 kuzama; dakika 3-4 kufa baada ya kuzama
Na huu ndio ukweli wenyewe, so kilichokuwa kinaendelea baada ya dk kumi au nusu saa tunaita UOPOAJI
 
"jogi
View attachment 876280
Actual death may take 3-4 minutes, but this article tells us that, "drowning people can only struggle on the surface of the water from 20 to 60 seconds before submersion occurs." If a person is in the process of drowning, that's your rescue window.

KWA KISWAHILI

Mtu akianguka majini kama wale wa MV. Nyerere ina chukua kati ya sekandi 20-60 kuzama; dakika 3-4 kufa baada ya kuzama
Lakini kuna mtu alikaa usiku kucha ndani ya mv nyerere kaiprove wrong theory yako
 
jogi, yule makenika? si alikuwa kwenye chumba maalumu na hata hajagusana na maji
Kuna watu walikuwa maji ya shingo kulikuwa na uwezekano wa kuwafikia kabla hawajafunikwa na mma!
Inauma sana uimagine.
 
Kuna watu walikuwa maji ya shingo kulikuwa na uwezekano wa kuwafikia kabla hawajafunikwa na mma!
Inauma sana uimagine.
Hao waliokuwa maji ya shingo walikua wapi?Nani wakuwa maji ya shingo baada ya kupinduka?Hata ambao hawakufunikwa na kivuko sio kweli kwamba mtu nusu saa nzima alikua anatapatapa coz kutoka kilipopinduka hadi nchi kavu ni mita mia,so kwa waliokuwa wanajua kuogelea ilikua rahisi kuogelea hadi nchi kavu na wasiojua ndio hivo waliowah kuokolewa waliokolewa. Hakuna mtu asiyejua kuogelea akatapatapa ndani ya maji zaid ya nusu saa.Nimeoga mtoni,ziwani na baharini hivi vitu haviwezekani.
 
Imefikia ngapi hadi sasa!? Mara ya mwisho nilisikia 100M
tunakusanya hela tukanunue reli..
tutengenezee sifa !
mwitikio wa rambirambi umedorora mara hii, maana watu wanaogopa michango yao kwenda kuhongewa na kutumika kufanyia vikao vya vyama ikulu.
 
Hayana uchafu hayo
PICHA YA SIKU: MAISHA LAZIMA YAENDELEE...

Wakazi wa Bwisya wakichota maji katika ufukwe wa Ukara, Ziwa Victoria kwa ajili ya matumizi ya nyumbani jana. Eneo hilo ni jirani na sehemu kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere. Picha na Michael Jamson
 
Janga la asili 'natural disaster' acha mambo yako
Wanabodi salaaam! Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu Walioathirika na Janga hili.Kwa walionusulika Katika ajari Mungu awaimarishe afya zenu mrudi Katika Hali njema.Kwa waliofariki Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi AMin. Ajari ni kitu kinachotokea pasipo kutarajia,ingawa Kuna ajari zingine hutokea kwa kupangwa lakini hili si kusudio la ujumbe wangu.Ninachojaribu kueleza hapa ni kuwa ajari ya MV NYERERE ni Janga la ASILI.Hivyo sisi Kama Watanzania tunachotakiwa ni kuungana kwa pamoja Katika msiba huu wa kitaifa pamoja na kutoa michango YETU kwa waathirika.Na mamlaka zinazohusika tunaomba mhakikishe michango yote tutakayojitolea iwafikie walengwa isije kupangiwa kazi nyingine kinyume na matarajio ya WATU.Tofauti zetu za kisiasa zisitugawanye,nawasilisha.
 
Msamehe mkuu, nadhani alitaka kusema kulikuwa na ka hewa kidogo ndio akaweza tumia kupumua
AIR POCKET unaijua wewe? mahali alipopatikana Cherehani ni kwenye chumba cha injini ambacho kile ni maalumu inapotokea ajali kama ile milango ikifungwa maji hayaingiii na si mahali pa kukaa nahodha wala mtu yeyote n kwa ajili ya injini tu..unakuja unajitia unajua jua AIRPOCKET as if unajua hyo airpocket ilipo..Acha story za vijiweni story zenu ishia nazo huko huko sio kujileta hapa kujitia unajua airpocket kisa tu umeskia wavuta bangi wenzio wameitamka.
 
Acha kutetea ujinga,uliambiwa kuzama au kupinduka inakuaga ghafla kama Ajali ya gari,au NDEGE angani au unafkiri kilipoanza kuingiza maji nahodha hakujua? acha kutetea ujinga kbsa Taarifa zilipaswa kutolewa na hatua za uokoaji zngechukuliwa Kuzama au kupnduka n process sio jambo la ghafla bin vuu useme n gari lilipinduka ushndwe shka simu..iwe kuzama au kupinduka chombo lazima kianze kwenda mdogo mdogo hadi kipoteleeee..yani hapo mtu labda anambie yale ma radio call yalikua mabovu ndo ntamuelewa..sina wa kumwelewa mwngine ataekuja na sababu tofaut ya ubovu wa radio call.
Dude liligeuka bwana, huo muda wa kutafuta radio call husingeweza kupatikana.

Imagine kivuko kulilala miguu juu, imagine uli mrusho unaotokana na lile gari la mizigo.

Naamini ingetokea kama ilivyo kwa TITANIC... Usemacho kingeapply, ila kwa Mv Nyerere... isingewezekana.

Natamami tungekuwa na wataalam wakujitokeza kutengeneza model ya hii ajali ilivyotokea
 
Itategemea na uhusiano + historia ya maisha yangu na yule mama...

Ila yote kwa yote haya mambo yanategemeana sana na mtu.

Mwingine yeye kifo cha mtu sio big deal kiivo..
Hamna kilichopungua maana is something like your own mother has passed away unawakilishwa na mke! There won't be anything wrong kimtazamo!
 
Back
Top Bottom