Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mungu atusaidie tutende kwa upendoNatamani tusingekubali kupoteza hata tone moja la damu ya Mtanzania kwa kisingizio cha ushindi wa kishindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atusaidie tutende kwa upendoNatamani tusingekubali kupoteza hata tone moja la damu ya Mtanzania kwa kisingizio cha ushindi wa kishindo
Nakuongezea na hii ukanywee uji..chama chako cha kijani chenye laani kipo radhi kununua ndege kwa cash isiyokaguliwa na mamlakayoyote na kuendesha shirika la ndege kwa ruzuku ya mabilioni ya shilingi kwa hasara lakini haioni umuhimu wa kutoa ruzuku kwenye madawa li kila mwananchi apate bima ya afya..hizi ndio sera zenu za maendeleo..niongeze volume?Kweli kamanda!
Ndio maana tunasema Lisu akichukua nchi tutang'oa nguzo zote huko vijijini. na hizo hospitali alizojenga zikae tayari. Na tutarudisha vyeti feki kama kawa.
Hatutaki maendeleo ya vitu sisi.
Maendeleo gani hayo wakati hatuko huru kuropokaropoka na kuandamana
ngoja niongeze zaidi.Nakuongezea na hii ukanywee uji..chama chako cha kijani chenye laani kipo radhi kununua ndege kwa cash isiyokaguliwa na mamlakayoyote na kuendesha shirika la ndege kwa ruzuku ya mabilioni ya shilingi kwa hasara lakini haioni umuhimu wa kutoa ruzuku kwenye madawa li kila mwananchi apate bima ya afya..hizi ndio sera zenu za maendeleo..niongeze volume?
-Nakuongezea na hili pia,hakuna mjinga wa cdm anaweza toa 2/3 ya bajeti ya wizara ya nishati kupeleka kwenye stiglaz goji akaacha kusambaza umeme kwenye mikoa inayotumia majenereta mfano Katavingoja niongeze zaidi.
Lile bwawa la umeme Rufiji tutalivunjailia mbali - nani kamwambia umeme ni maendeleo ya watu?
Elimu bure tutaifutilia mbali - nani kamwambia hatuna hela sie?
Hiyo Reli anayojenga tutaing'olea mbali - nani kamwambia tunataka maendeleo ya vitu sie?
Maflyover yote vunjilia kule - kwani foleni ilikuwa inatupa shida gani?
Chagua Lisu, chagua maendeleo ya watu (i.e kuropoka na kuandamana)
Ukara ipo UkereweDah! Ukara ni wapi huko ambako hawataki masihara?
Hakuna haja ni mwendo huohuo tu wa kulipa ultimate price ndipo huu upuuzi utakomaHii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Achemi maskhara yenu mmeshasahau sarakasi za acquline nape na yule mmiliki wa kituo mafuta mwanza .mo dewji etc?Hilo lingekuwa jema zaidi ni kukamata kipigo wataje waliowatuma
Hongera kwa wananchi, hakuna namna nyingine.Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
Inadaiwa watu hao wamezingirwa baada ya mgombea huyo kupiga ukunga na ndipo walipozingirwa na kushushiwa kipigo ambapo mmoja ameuawa huku wawili wakifanikiwa kutoroka.
Hilo ni tukio la kwanza la mauaji yanayohusishwa na mambo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo kunatabiriwa kuwepo kwa visa vingi vya vurugu kutokana na sintofahamu ambazo zimeanza kujitokeza.
Habari hii imethibitishwa na Katibu wa kanda ya Victoria- CHADEMA ndugu Zacharia T. Obad
Kumbe hata umeme hawasambazi mikoani? Sasa tutangoa nini Lisu atakapoingia?-Nakuongezea na hili pia,hakuna mjinga wa cdm anaweza toa 2/3 ya bajeti ya wizara ya nishati kupeleka kwenye stiglaz goji akaacha kusambaza umeme kwenye mikoa inayotumia majenereta mfano Katavi
-Hakuna mjinga wa cdm anaweza tenga 2/3 ya bajeti ya ujenzi kupeleka kwenye mradi hewa wa sgr ambayo iko kwenye corridor yenye less than 30% ya cargo kwa mujibu wa takwimu za bandari ya dar akaacha kujenga barabara za vijijini na za mikoa
-Hakuna mjinga wa cdm anaweza amlisha kujenga daraja la kigongo kuvuka ziwa victoria kwa bln 700 akaacha kujenga vyumba vya madarasa na kituo cha afya kila kata na kuondoa mlundikano wa watoto na wamama kwenye madarasa na mahospitali kama mbuzi
-Hakuna mjinga wa cdm atashindwa kutoa madawati kila shule kama tulivyofanya Tarime council badala yake atachukua mikopo kujenga stendi za mabasi eti ni vitega uchumi na kulipsha wananchi kuingia stendi..Huu ujinga mnaweza ccm pekee ndio maana bila wizi na mapolisi hamjawahi chaguliwa coz hamna mnachokiweza nyie toka uhuru hadi sasa 60 years bado mnahangaika na vyoo vya shule na vya stend
Point yako ni ya ki lumumba. Hivi wajiteke, wajiue halafu kiwe nini. Endeleeni na maigizo yenu, tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.Mkuu Kiukweli ni mjinga tu ndio ataamini kuwa haya matukio yanaratibiwa na ccm, yaani wafanye huu utekaji na uuaji kwa makusudi kabisa huku wakijua kabisa lawama zitatupwa kwao na kuwapaka matope tena kwenye kipindi hiki cha uchaguzi?
Basi kama ni hivo watakuwa wapumbavu kweli kweli.
Somewhere in ukereweDah! Ukara ni wapi huko ambako hawataki masihara?
hapana mkuu, walivyofanya ndio sahihi zaidi, watakaotumwa kutenda kama huyu popote kwingne nchini watakataa maana wataogopa litawapata kama huyo marehemu...so ni funzo tosha!.Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Unauwawa nyumbani kwa mtu usiku wa manane ukitegemea fundisho kwa wengine? Jaribu uone mwenyewe! Kama chama hakitakiwi acha hiyo kazi.Kesi ya mauwaji hiyo, huyo Zakaria na wenzake wanakesi ya kujibu ili iwefundisho kwa wengine.
Jana tena?Naona mods kila mda wanafuta uzi wa mauaji ya wana ccm yaliyo tokea jana tunduma
Ni kisiwa kipo hko mwanza ,karibu na ukereweDah! Ukara ni wapi huko ambako hawataki masihara?