Uchaguzi 2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

Nakuongezea na hii ukanywee uji..chama chako cha kijani chenye laani kipo radhi kununua ndege kwa cash isiyokaguliwa na mamlakayoyote na kuendesha shirika la ndege kwa ruzuku ya mabilioni ya shilingi kwa hasara lakini haioni umuhimu wa kutoa ruzuku kwenye madawa li kila mwananchi apate bima ya afya..hizi ndio sera zenu za maendeleo..niongeze volume?
 
ngoja niongeze zaidi.
Lile bwawa la umeme Rufiji tutalivunjailia mbali - nani kamwambia umeme ni maendeleo ya watu?
Elimu bure tutaifutilia mbali - nani kamwambia hatuna hela sie?
Hiyo Reli anayojenga tutaing'olea mbali - nani kamwambia tunataka maendeleo ya vitu sie?
Maflyover yote vunjilia kule - kwani foleni ilikuwa inatupa shida gani?
Chagua Lisu, chagua maendeleo ya watu (i.e kuropoka na kuandamana)
 
-Nakuongezea na hili pia,hakuna mjinga wa cdm anaweza toa 2/3 ya bajeti ya wizara ya nishati kupeleka kwenye stiglaz goji akaacha kusambaza umeme kwenye mikoa inayotumia majenereta mfano Katavi
-Hakuna mjinga wa cdm anaweza tenga 2/3 ya bajeti ya ujenzi kupeleka kwenye mradi hewa wa sgr ambayo iko kwenye corridor yenye less than 30% ya cargo kwa mujibu wa takwimu za bandari ya dar akaacha kujenga barabara za vijijini na za mikoa
-Hakuna mjinga wa cdm anaweza amlisha kujenga daraja la kigongo kuvuka ziwa victoria kwa bln 700 akaacha kujenga vyumba vya madarasa na kituo cha afya kila kata na kuondoa mlundikano wa watoto na wamama kwenye madarasa na mahospitali kama mbuzi
-Hakuna mjinga wa cdm atashindwa kutoa madawati kila shule kama tulivyofanya Tarime council badala yake atachukua mikopo kujenga stendi za mabasi eti ni vitega uchumi na kulipsha wananchi kuingia stendi..Huu ujinga mnaweza ccm pekee ndio maana bila wizi na mapolisi hamjawahi chaguliwa coz hamna mnachokiweza nyie toka uhuru hadi sasa 60 years bado mnahangaika na vyoo vya shule na vya stend
 
Naona mods kila mda wanafuta uzi wa mauaji ya wana ccm yaliyo tokea jana tunduma
 
Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Hakuna haja ni mwendo huohuo tu wa kulipa ultimate price ndipo huu upuuzi utakoma
 
Hilo lingekuwa jema zaidi ni kukamata kipigo wataje waliowatuma
Achemi maskhara yenu mmeshasahau sarakasi za acquline nape na yule mmiliki wa kituo mafuta mwanza .mo dewji etc?
Hii ya kudedisha imekaa vyema sana
 
Hongera kwa wananchi, hakuna namna nyingine.
 
Kumbe hata umeme hawasambazi mikoani? Sasa tutangoa nini Lisu atakapoingia?
Na SGR ni hewa? ina maana Lisu atakosa cha kuvunja?
Kumbe kajenga daraja na hajajenga vituo vya Afya?
Duh!
Tunahitaji uhuru wa kuropoka uhuru wa watu.
 
Leo tena inasemekana kuna mwingine ameuawa kwenye kisiwa hicho hicho cha ukara na jana kulizuka vuruga katika kata ya bukongo wakati wa urejeshaji fomu baada ya kutokea hali ya kutokuelewana kati ya mtendaji wa kata na wafuasi wa chadema

G Sam fuatilia utupe habari kwa kina hili la leo
 
Point yako ni ya ki lumumba. Hivi wajiteke, wajiue halafu kiwe nini. Endeleeni na maigizo yenu, tutawamaliza mmoja baada ya mwingine.
 
Tutapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe Uchaguzi huu.
Lazima tuheshimiane tu, mi binafsi naapa MaCCM yakitufanyia CHADEMA vurugu maneno ambayo nipo, watajutia. Nawawatoa utumbo nje.
Kwa jina la M/Mungu vile #sasabasi
 
Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
hapana mkuu, walivyofanya ndio sahihi zaidi, watakaotumwa kutenda kama huyu popote kwingne nchini watakataa maana wataogopa litawapata kama huyo marehemu...so ni funzo tosha!.
 
Kesi ya mauwaji hiyo, huyo Zakaria na wenzake wanakesi ya kujibu ili iwefundisho kwa wengine.
Unauwawa nyumbani kwa mtu usiku wa manane ukitegemea fundisho kwa wengine? Jaribu uone mwenyewe! Kama chama hakitakiwi acha hiyo kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…