William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwa hiyo le ngumbaruz umekubali kwamba umetoboa 60 na ushee. Hahahaaa.
Ila km kweli anaeandika hapa ni ex wa le big show bas anakosea sana!wanawake hatuko hvyo at all!kumuanika aliekua mme wako hvyo!tena bila adabu eti unamuita mama ake ni kichaa anavyaa matambara!hapana kwa kwel nmekua so disappointed na huyu mwanamke mwenzangu
- hahahaha hayana uzito wowote kakosea hesabu sasa analia na bado atalia sana maana sina mpango wa kukirudia kimama cha miaka 50 no way hahahaha never hahahahahahahahah U know!! nilishakisahau sasa aendelee na maisha yake mimi nilishaendelea na maisha yangu siku nyingi nashangaaa hataki kuniacha why? hahahahahahah mvua imemnyea hahahahahahahha
Le Mutuz
- Huwezi kunivua chupi never utajivua mwenyewe kwa sababu nina AKILI KUBWA huwa ninatumia akili sana kwa kila ninalolifanya na kulisema this is my best chance ya kuweka ukweli wangu wazi baada ya kuchafuliwa sana na huyu mama ambaye sio siri kwamba hayuko sawa pole sana kama ni ndugu yako, yeye alifikiri anaweza kutumia jina la bandia ikamsaidia kumbe kajivua nguo mwenyewe najua anahangaika sana kujaribu kuonekana sio yeye ila hahahaha honestly ananischekesha sana hahaha maana this is just good for me!! and I love it!!
Le Mutuz
- hahahahahahaha yaaani Imagine mimi niwe na girlfriend kimama chenye miaka 50 si watu wote hapa mjini watanicheka hahahahahahahah hichi kimama kizee kimekosea mahesabu sasa kinalia lia hapa JF hahahahahaa inanichekesha sana hahaha
Le Mutuz
Hatuna uhakika kama kweli ni yeye.
Je haupo disappointed na mwanamme anayemwita mwanamke alozaa naye 'kimama' au 'kibibi'?
By the way wote wawili wanakosea sana.Hapa sipendi mama lemutuz anavokua involved katika ujinga huu.
Yani anakuhaibisha wewe unaona anakuchekesha? Kweli unawaza kwa namna ya kipekee.
Mkuu Umejuaje Kama Huyu member Case Mtanga unayemuhisi ni x-wife wako?
kama ana 50 unamuita bibi, jee wewe una miaka mingapi?kwahio wewe ni babu jinga?? don't kill the messenger plzz!! i'm just a messenger!
- Ni kwa sababu nimeambiwa haya matusi kwa muda mrefu sana na walio ongea naye one on one ndio maana ninajua kuwa ni yeye na wala cha kujitetea halafu the timing ameanza haya matusi baada ya kutoka likizo aliyokuja juzi ambapo ndipo kwa mara ya kwanza alikubali kwamba sina mpango wa kumrudia now I hope nimekusaidia au bado?
Le Mutuz
Le mutuz nakushauri ukae kimya ili umaintain heshima yako..munawapa watu faida kwa maswala yenu ya ndoani bwana..kaa kimya uonekane mwerevu wataoendelea kusema wataonekana le mburulaaaaaz
Imenipa Picha Mkuu.
eti le ngumbaruz watu wana maneno
Mkuu Umejuaje Kama Huyu member Case Mtanga unayemuhisi ni x-wife wako?
Kwani wapi the country of the braves they get there money?stupid hiyo ipo wazi dummy
- Ona mburulazzz mwingine huyu hahahaha eti heshima inapatikana JF kwenye watu wanaotumia majina ya bandia kutukana watu wasiowajua ndio inaptikana heshima? So wewe heshima yako umeipatia JF kwa kunyamza kimya wakati unatukanwa na kuzushiwa ujinga unasema ukinyamaza kimya utapata heshima kubwa sana hahahahahahahahaha humu ndani siku hizi kumejaa sana mburulazzz hahahahah
Le Mutuz
Hawezi kuwa na uhakika.Ni obsession tu.
Well this implies the x wife still haunts the man's mind.
pesa za welfare za serikali karibu zote za ulaya na US zinatokana na kodi wanazokatwa wafanyakazi wake.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hili Le mutuz yuko right na anachokiongea...pesa wanazolipwa watoto wake ndio hizo hizo alizokua akikatwa wakati akifanya kazi..ni percentage fulani hivi...