Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo le ngumbaruz umekubali kwamba umetoboa 60 na ushee. Hahahaaa.

- Duh siku nikifikia utakuwa wa kwanza kujua hahahahahahaha kila kona nawashinda vipi hamkujitayarisha kabla ya kuingia vitani hahahahahaha Miaka 60 Mbowe nimekua naye hajafikia na yeye mkubwa kuliko mimi unaona kichekesho hiki hahahahahahahha

Le Mutuz
 
Ila km kweli anaeandika hapa ni ex wa le big show bas anakosea sana!wanawake hatuko hvyo at all!kumuanika aliekua mme wako hvyo!tena bila adabu eti unamuita mama ake ni kichaa anavyaa matambara!hapana kwa kwel nmekua so disappointed na huyu mwanamke mwenzangu

Hatuna uhakika kama kweli ni yeye.
Je haupo disappointed na mwanamme anayemwita mwanamke alozaa naye 'kimama' au 'kibibi'?
By the way wote wawili wanakosea sana.Hapa sipendi mama lemutuz anavokua involved katika ujinga huu.
 
- hahahaha hayana uzito wowote kakosea hesabu sasa analia na bado atalia sana maana sina mpango wa kukirudia kimama cha miaka 50 no way hahahaha never hahahahahahahahah U know!! nilishakisahau sasa aendelee na maisha yake mimi nilishaendelea na maisha yangu siku nyingi nashangaaa hataki kuniacha why? hahahahahahah mvua imemnyea hahahahahahahha

Le Mutuz

kama ana 50 unamuita bibi, jee wewe una miaka mingapi?kwahio wewe ni babu jinga?? don't kill the messenger plzz!! i'm just a messenger!😅😓😁
 
- Huwezi kunivua chupi never utajivua mwenyewe kwa sababu nina AKILI KUBWA huwa ninatumia akili sana kwa kila ninalolifanya na kulisema this is my best chance ya kuweka ukweli wangu wazi baada ya kuchafuliwa sana na huyu mama ambaye sio siri kwamba hayuko sawa pole sana kama ni ndugu yako, yeye alifikiri anaweza kutumia jina la bandia ikamsaidia kumbe kajivua nguo mwenyewe najua anahangaika sana kujaribu kuonekana sio yeye ila hahahaha honestly ananischekesha sana hahaha maana this is just good for me!! and I love it!!

Le Mutuz

Yani anakuhaibisha wewe unaona anakuchekesha? Kweli unawaza kwa namna ya kipekee.
 
- hahahahahahaha yaaani Imagine mimi niwe na girlfriend kimama chenye miaka 50 si watu wote hapa mjini watanicheka hahahahahahahah hichi kimama kizee kimekosea mahesabu sasa kinalia lia hapa JF hahahahahaa inanichekesha sana hahaha

Le Mutuz

Mkuu Umejuaje Kama Huyu member Case Mtanga unayemuhisi ni x-wife wako?
 
Hatuna uhakika kama kweli ni yeye.
Je haupo disappointed na mwanamme anayemwita mwanamke alozaa naye 'kimama' au 'kibibi'?
By the way wote wawili wanakosea sana.Hapa sipendi mama lemutuz anavokua involved katika ujinga huu.

- Well, kabla ya kuanza kuja kunishambulia hapa alikuwa ananisumbua sana maana watu walikuwa hawana nafasi ya kusikia my side so unapenda hupendi it does not matter ila to me this is the best that could have ever happen maana nilikuwa sina nafasi ya kujibu ila now here ninajibu na ukweli una uzushi si unaona ulipo, wewe kupenda au kutopenda kunabadili nini hahahahahahahah

Le Mutuz
 
Yani anakuhaibisha wewe unaona anakuchekesha? Kweli unawaza kwa namna ya kipekee.

- Angekuwa anafanikiwa usingekuja kulia lia unalia lia kwa sababu unajua kwamba hana hoja ila ni loser Mwanaume uliyemuacha huwezi kuwa na matatizo mpaka ya kuja JF ina maana moja tu kwamba umeachwa hahahahahah

Le Mutuz
 
Mkuu Umejuaje Kama Huyu member Case Mtanga unayemuhisi ni x-wife wako?

- Ni kwa sababu nimeambiwa haya matusi kwa muda mrefu sana na walio ongea naye one on one ndio maana ninajua kuwa ni yeye na wala cha kujitetea halafu the timing ameanza haya matusi baada ya kutoka likizo aliyokuja juzi ambapo ndipo kwa mara ya kwanza alikubali kwamba sina mpango wa kumrudia now I hope nimekusaidia au bado?

Le Mutuz
 
Le mutuz nakushauri ukae kimya ili umaintain heshima yako..munawapa watu faida kwa maswala yenu ya ndoani bwana..kaa kimya uonekane mwerevu wataoendelea kusema wataonekana le mburulaaaaaz
 
kama ana 50 unamuita bibi, jee wewe una miaka mingapi?kwahio wewe ni babu jinga?? don't kill the messenger plzz!! i'm just a messenger!

- hahahahahahaha kwani wewe una umri gani mkuu? hahahahahah ungeanza na wako ndio utakuwa na haki ya kuuliza wengine au? hahahahahah

Le Mutuz
 
- Ni kwa sababu nimeambiwa haya matusi kwa muda mrefu sana na walio ongea naye one on one ndio maana ninajua kuwa ni yeye na wala cha kujitetea halafu the timing ameanza haya matusi baada ya kutoka likizo aliyokuja juzi ambapo ndipo kwa mara ya kwanza alikubali kwamba sina mpango wa kumrudia now I hope nimekusaidia au bado?

Le Mutuz

Imenipa Picha Mkuu.
 
Le mutuz nakushauri ukae kimya ili umaintain heshima yako..munawapa watu faida kwa maswala yenu ya ndoani bwana..kaa kimya uonekane mwerevu wataoendelea kusema wataonekana le mburulaaaaaz

- Ona mburulazzz mwingine huyu hahahaha eti heshima inapatikana JF kwenye watu wanaotumia majina ya bandia kutukana watu wasiowajua ndio inaptikana heshima? So wewe heshima yako umeipatia JF kwa kunyamza kimya wakati unatukanwa na kuzushiwa ujinga unasema ukinyamaza kimya utapata heshima kubwa sana hahahahahahahahaha humu ndani siku hizi kumejaa sana mburulazzz hahahahah

Le Mutuz
 
eti le ngumbaruz watu wana maneno

- Off course ukiwa huna shule ni sawa na giza maana hujui what is good na what is bad hata kwako mwenyewe hahahahaha sasa kuna mtu anafikiri kwa kuandika huu uzushi ananichafua how na leo ndio kwanza nimesaini mkataba wa kuitangaza benki ya access maana yake ni kuvuta pesa unadhani hawasomi humu wahusika? Wanasoma sana ila wanaona ukweli wa hoja huwezi kwenda shule ukawa mjinga never hahahahah

Le Mutuz
 
Kwani wapi the country of the braves they get there money?stupid hiyo ipo wazi dummy

pesa za welfare za serikali karibu zote za ulaya na US zinatokana na kodi wanazokatwa wafanyakazi wake.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hili Le mutuz yuko right na anachokiongea...pesa wanazolipwa watoto wake ndio hizo hizo alizokua akikatwa wakati akifanya kazi..ni percentage fulani hivi...
 
- Ona mburulazzz mwingine huyu hahahaha eti heshima inapatikana JF kwenye watu wanaotumia majina ya bandia kutukana watu wasiowajua ndio inaptikana heshima? So wewe heshima yako umeipatia JF kwa kunyamza kimya wakati unatukanwa na kuzushiwa ujinga unasema ukinyamaza kimya utapata heshima kubwa sana hahahahahahahahaha humu ndani siku hizi kumejaa sana mburulazzz hahahahah

Le Mutuz

Yani kosa unalofanyaga from time to time ni kukosa akili ya kuchambua.
Huyo mtu kakushauri kwa uzuri umemjibu vibaya.
Aisee!
Afu kama unadhani kutumia jina halisi ndo maakili mengi umeboogi.
 
Hawezi kuwa na uhakika.Ni obsession tu.
Well this implies the x wife still haunts the man's mind.

- Mimi sina muda naye kabisa ni yeye ndiye anayehangaika kila mahali mpaka kutumia matusi mabebez wangu unataka nilete hapa matusi yake kwa mabebez wangu itakuwa aibu, wewe umerukia treni usiyoijua pole sana huyu anahitaji therapy wamsaidie kukubali ukweli kwamba sitamrudia tena! hahahahahahahaha

- Unamrudia mama aliyekwenda mwenyewe kwa siri kumbembeleza mama yangu amruhusu nimuoe leo anamtukana mama yangu wewe unaweza kumrudia mwanamke kama huyo hahahahahaha please usinilzimishe kusema mkuu!!

Le Mutuz
 
pesa za welfare za serikali karibu zote za ulaya na US zinatokana na kodi wanazokatwa wafanyakazi wake.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hili Le mutuz yuko right na anachokiongea...pesa wanazolipwa watoto wake ndio hizo hizo alizokua akikatwa wakati akifanya kazi..ni percentage fulani hivi...

- thanks wala hamna la kuongeza now imagine nisingejibu huyu mama alishawaaminisha watu wengi sana wasiojua kwamba nina makosa wakati huu ndio ukweli FACT ndio maana kama huna Social Security Card huwezi kupewa Welfare maana haumo kwenye system ya Serikali ya USA na kodi, thanks

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom