Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Yani kosa unalofanyaga from time to time ni kukosa akili ya kuchambua.
Huyo mtu kakushauri kwa uzuri umemjibu vibaya.
Aisee!
Afu kama unadhani kutumia jina halisi ndo maakili mengi umeboogi.

- Kwa kutmia jina langu kamili ndio maana nimeweza kuwa maarufu na kuweza kutengeneza pesa kwa kutumia umaarufu ndio maana blog yangu ina miaka 3 tu infanya maajabu, pole sana ila na wewe umekosea sana kuubeba upande ambao hauna ukweli hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Huyu jamaa lemutuz yeye ndio anatapatapa hajui for sure mimi ni nani ninaandika ndio maana anamsingizia huyo mama watoyo wakr na yote inatokana na yeye kukosa busara na kutoamini kama kuna watu zaidu ya mkewe familia yake watajua mambo yake ya ndani, kama hii issue ya watoto wake kumkataa pale ukonga na yeye kulia kwenye gari ilikuwa wazi na yeye hajapinga pote na kila mtu anajua sasa sioni sababu ya yeye kumuandama yule mzazi mwenzie kwa maneno ninaandika mimi, huyu lemutuz ninamjua siku nyingi sana na hata leo tumeonana mitaani tukasalimiana kwa furaha lakini hajanijua kama mimi ndio natuma post hizi hapa, anatakiwa a grow up na aache utoto.
Hu
 

Wewe rekebisha kauli.
Sijarukia train babu, this is a public forum.Wewe na yeye ndio mnaomwaga habari zenu hapa no one asked of these tales.
Mkiamua semeni na mengine.
 

Siwezi kumrudia kwa kuwa mie sio mwanaume.Siwezi kuoa kabisa.
Mtu mzima na akili yako unataka kusema ulioa kwa shinikizo la mama yako mzazi?
Ooh pleaseee! Enough information babu.
 
Umaarufu wote huo na kutengeza pesa zote hizo na bado unategemea watoto wako walelewe na serikali kweli kama yatima halafu wewe baba kazi yako kucheza na vitoto vidoho huku na ukuwadi na kujisifu ovyo wakati huna lolote, kama kila taxpayer in america angetaka watoto wake walipiwe na serikali nchi si ingefilisika jamani, wewe na bill gates nani amelipa tax kubwa na mbona husikii watoto wake wako welfare, a big fat looser like u ndio atajisifu kulipiwa lipiwa na wanaume wenzake na watoto wake kuwa kwenye welfare na sishangai si hata bongo si kika mara kina seki na davis wanakulipia misosi yako na ticket za ndege, dume mwenzako wa mbegu mengi kakusaidia kwenye nyumba, juzi ridhiwani kakununulia kuku nusu pale container mikocheni ukawa so proud na kumsifia haha ur truly a looser no wonder u r so proud watoto wako kupewa misosi na afa na serikali pole babu lemutuz
 
Sipo upande wowote.Ninyi nyote ni bibi na babu yangu.
Nashangaa babu unavofanya ivi, nilidhani una busara kidogo kuliko bibi.
Kama bibi kakosea kusema uongo, why keep doing the sane mistake ya kudisclose kuwa bibi alimwomba nyanya wewe umuoe?
Suprisingly enough babu na miakili mengi ukawa dragged kwenye ndoa? So hukumpenda au?
 

Kumbe una blog?
Inafanya maajabu gani?
 
hizi mambo personal si mmalizane ndani kwenu jamani.... humu kuna watoto under age afu mnaongea mambo makubwa ya familia!!!!

lemutuz kama kichaa akiiba nguo zako na kukimbia huwez ukamkimbiza bila nguo, wewe nae utaonekana kichaa... mi naona unyamaze tu, ushaongea mengi mkuu.
 

1. Ningekuwa sijui wew ni nani usingehangaika kutafuta cover maana unajua kwamba finally ukweli unatoka na uongo na uzushi wako unajulikana wazi, sasa hayo mambo ya ndani umeyajuaje na wewe sio yeye unaona unavyokamatisha mwenyewe, Ningekuwa ninaogopa anything ningewaomba JF wafute ukweli ni kwamba nimewaomba JF kila unapoandika wasifute maana unanisaidia sana ndio maana hawafuti wala kufunga topic unazochangia kuna wanazozifuta ila sio unazochangia maana niliwaomba sana hahahahaha

2. Watoto hawajawahi kunikataa mahali popote pale, nilikuja kuwaona nikiwa na mume wa dada yako kwenye gari baada ya kuwaona nikaondoka kumshusha shemeji yako nikarudi zangu mjini mama yangu akaugua ghafla nikaenda kumuuguza sikupata nafasi tena ya kuwahi kurudi kuwaona tena, sasa angalia uongo wako wa kitoto na uzushi hahahaha maumivu

3. Msichana anayeitwa Hidaya ndiye aliyekuambia kuhusu kuwepo kwangu Mikochen kontena, watu wote waliokuwepo siku ile wameulizwa imegundulika ni yeye ndiye mwenye uhusiano na wewe na aliyokuambia nu uzushi mtupu, Mimi nilikuwa na kundi la Wasanii tumetokea Tegeta kwenye msiba wa Seky, ambao nipo nao almost kila siku tumekaaa wanakunywa pombe mimi sinywi nikamuagiza dada mfanyakzi akanininulie zero coke mbili akaniletea, tukiwa tumekaa pale Ridhiwani akaja akajiunga nasi, nikagundua pale pana kiti moto nikaagiza kwa ukimywa kwa kuheshimu dini za wengine pale na ndio maana ikabidi nikale kwa pembeni, Ridhiwani kama mimi hanywi pombe so alikunywa tonic tu, mtoto wa Rais alitakuwa kuwa na helikopta wacha v8 kama unavylia lia ni haki yake mimi sio mtoto wa Rais kuendesha Noah ni sawa sawa tatizo ni kama ningekuwa natenbea kwa mguu,

- I am a grown up man ndio maana ninajua kwamba hunifai ningekuwa mtoto mjinga ningekurudia, pole sana mimi nipo sawa anayehangaika ni wewe ila uliyataka mwenyewe hahahahahahaha kama ni leo sijasalimiana na mtu maana ninaumwa macho sijatoka ofisini kwangu sijatoka unaona uongo kwa nini unahangaika kusema uongo na wewe upo sawa? unasumbuliwa na maumivu hahahaha pole sana

Le Mutuz
 
Le mutuz!!!!! I always thought you were bigger than this...

- I am getting this thing straight, huyu mama amenichafua sana this is my best time to get this thing straight kama huwezi usisome badili channel simple as that!!

Le Mutuz
 

- Well I was born a man inapokuja ku defend myself sijawahi ku compromise na mtu, ndio maana jamabazi mmoja aliponiwekea bastola kichwani Mwananyamala nilikataa kuweka mikono juu nikammwambia anipige risasi au ashushe bastola yake aache mchezo wa kitoto, yule jamabazi alipigwa na mshaangao wa ajabu akahsusha bastola yake nikaondoka wewe mimi nimelala nje kutafuta maisha New York nikamleta huyu mama ili siku moja anichafue ninyamaze ili nionekane nina heshina na busara to hell with that nonesense!!

Le Mutuz
 

- Nina ofisi yangu mwenyewe ninailipia rent yangu mwenyewe, nina 3 bedrooms apartment ninalipia mwenyewe, watoto wanalipiwa na Serikali yes kwa pesa nilizokuwa ninakatwa kodi nikiwa ninafanya kazi miaka 25, Davis hajawahi kunilipia anything zaidi ya kunilipa kwa kumtangazia matangazo yake ya biashara kwenye my blog, Marehemu Seky alikuwa ni rafiki yangu akaamua kunisaidia kumuuguza mama yangu that is ok, Ridhiwani juzi hakuninunulia anything nilinunua mwenyewe kitimoto hahahahahaha wafwa, tiketi za ndege huwa ninasafiri bure kwa mkataba nilionao na fastjet unaona hata hoteli huwa ninakaa bure kwa mkataba huo huo hahahahahahahaha leo umeptikana sana pole sana hahahaa ndio maana nikiingia tu kwenye ndege lazima nirushe picha instagram na nikfika tu hotelini hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Siwezi kumrudia kwa kuwa mie sio mwanaume.Siwezi kuoa kabisa.
Mtu mzima na akili yako unataka kusema ulioa kwa shinikizo la mama yako mzazi?
Ooh pleaseee! Enough information babu.

Yani nimesema toka mwanzo hya mambo c yakuongea hadharani itafika mahali mke aseme watoto c wke cjui itakuaje mtu umeishi nae miaka kibao mnashea vikojoleo mnakuja kuumbuana hadharani.mbna mengi ameacha n mkewe miaka kibao bt wanaongea n kuheshimiana tu.divorce c ugomvi n uadui kwa style hii babu anaharibu
 
Wewe rekebisha kauli.
Sijarukia train babu, this is a public forum.Wewe na yeye ndio mnaomwaga habari zenu hapa no one asked of these tales.
Mkiamua semeni na mengine.

- Well pole sana unaona ndugu yako ameelemewa hahahahahaah umerukia treni kwa mbele ila utajibeba tu hapa nitajibu mpaka mwisho hahaha

Le Mutuz
 

- hahahaha leo mmepatkana hahahahaha utsema yote mimi najibu mapigo kama huwezi badilisha channel na again nawaomba sana JF msifute wala kufunga hii topic huyu mama amenisumbua sana na uongo now it time ukweli ukajulikana wazi na ndio huu hahahahahaha!!

Le Mutuz
 
Kweli kabisa

- badilisha channel kama huwezi this hahahahahaha halafu understand this sijaamia kumchafua maana nikiamua kumvua nguo wote mtalia machozi hapa yeye mwenyewe anajua sana so relax so far ninajitetea na uzushi ila usiombe siku moja niamue kumvua nguo!!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…