Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

wewe mdada mbona umekomaa hivi na issue za le mutuz...? do u think unamuweza kweli...??? as long as u dont have facts utaaibika.

stay away from le mutuz le big show le man of people le king of all bongo social medias hahhahhahahhahahhah atakuabisha tu. :juggle:
 

[h=5]
[/h]Just now ·








- huyu ndiye msichana nayekuletea maneno ya uongo kutoka hapa Dar na ndiye aliyekuambia maneno ya Mikochen nilipokuwa Kontena Jumapili anaiywa Hidaya, eti wewe upo Dar wewe unanionaje hahahahahahaha

Le Mutuz
 

- hahahaha thanks!!

Le Mutuz
 
Kwan marekan na bongo tumepishana masaa mangap kweli uyo mama Kama anafanyakazi ubalozi au Un apoteze mda kubishana hivyi mm nakataaa huyu atakuwa ni mtu wa Karib sna na lemutuz chunguza
 
Kwan marekan na bongo tumepishana masaa mangap kweli uyo mama Kama anafanyakazi ubalozi au Un apoteze mda kubishana hivyi mm nakataaa huyu atakuwa ni mtu wa Karib sna na lemutuz chunguza

- Please mimi nilikuwa New York na nikawa naandika kama nipo bongo anafuata nyayo tu kama huwezi kufikiri seriously kwa nini mnarukia trnei kwa mbele please let this woman keep on coming cause amenichafua kwa muda mrefu sana kwa pembeni now muache aje hapa in the open halafu anipe na mimi nafasi nimvue nguo hapa hamkukmbia wote hapa hahahahaha

- Nimekuonyesha mpaka picha ya mtu anayempelekea habari sasa unataka nini tena mkuu? hahahahahahah anasema leo kakutana na mimi na mimi leo sijatoka ofisini toka niingie hata wakati nakuja sijasalimiana na mtu kwa sababu ya kuumwa macho hahahahaha

Le Mutuz
 

ukishamvua nguo ndiyo iweje?
 
ukishamvua nguo ndiyo iweje?

- Huenda itamsaidia kupata akili maana huoni kwamba anahitaji msaada maana mimi ninaamini sana THEORY YA JINO KWA JINO so relax it is coming soon!! yeye anasema uongo na uzushi sasa subiri mimi niamue kuweka ukweli hapa hahahahaha itakuwa kiama mkuu hahahahahah

Le Mutuz
 
Hili jamaa La ajabu Kweli Kweli unamuweka x wako kwenye mablog duu Yani wewe unamambo ya kike kweli
 

Ila dougiemasta umemshindwa mkuu.
Ukiendelea kushindana na mjinga utaonekana mjinga.
Ungetukamatia yule mwehu dougiemasta ningeamini kuqa kweli uligoma kuinua mikono juu ya bastola ya jambazi .
 
Ila dougiemasta umemshindwa mkuu.
Ukiendelea kushindana na mjinga utaonekana mjinga.
Ungetukamatia yule mwehu dougiemasta ningeamini kuqa kweli uligoma kuinua mikono juu ya bastola ya jambazi .

Simpendi dogmasta jamaniii
 
Ila dougiemasta umemshindwa mkuu.
Ukiendelea kushindana na mjinga utaonekana mjinga.
Ungetukamatia yule mwehu dougiemasta ningeamini kuqa kweli uligoma kuinua mikono juu ya bastola ya jambazi .

- Siwezi kumkamta mtu anayeniongezea umaarufu unaonipatia pesa, anayeshimika sio aiyekuwa na kitu ana matusi ila anayetukanwa mwenye pesa hahahahaha huyo mtu ameninyanyua from 5,000 followers to leo 60,000 so nampenda sana!! huwa nikitaka kuongeza followers namchokonoa kidogo tu ananifanyia kazi yangu!!

Le Mutuz
 
Mkuu le mutuz unajua nimejikuta nasoma huu uzi mwanzo mwisho. Nimekubali hii akili kubwa inaelekea Invisible umem pm asiufute uzi au kuunganisha na mwingine. Ila nakushauri ujenge hata room na kaseble chako uache upoyoyo wa kukaa nyumba za kulala ukute kina Rizi wanakucheka kwa hilo life wanakuchukulia comedian flani ivi amaizing ukikaa nao ni kama kiburudisho. Imagine umeenda kununua nguruwe ukaenda kukaa pembeni unakula. Huoni umekaa kikomedi komedi mkuu.
 
Le mutuz Ndo zake kuwakisia watu anawafamu, kuna member hapa alikuwa anaitwa Kuhani, yaani le mutuz alimkomaliaga kuhani Kuwa ni Kaka wa Mke wake,sijui wamepanga kumchafua. Ila nia aibu wajukuu wa makamu wa kwanza wa Raisi Kuwa kwwnye welfare USA, welfare huwa wanaliopwa familia zinazoishi marekani legal,au wamarekani maskini, ili kuondoa pengo kati ya tajiri na maskini. Le mutuz ni aibu wanao mkeo na wanao Kuwa kwenye welfare wakati wewe Baba yao una AKILI KUBWA kama unavyodai
 

le mutuz wewe ni mtu mzima sana kwanza hukupaswa kuwepo hata jf vijana hawawezi kukuchokonoa ukaweka mambo yako hadharani inabidi utumie hekima na hiyo unayoiita akili kubwa itumike hapo......!kaka tumia kichwa chako kufikiria acha kufikiria kwa kutumia kidole gumba acha kujibu ondoka endelea na mambo yako jifanye tajiri au maskini hiyo ni juu yako hapa unajivua ngua mjomba nimekudharau sana unaishi kwa tetesi kama chadema nionyeshe akili kubwa unayoiongelea hapa ...mambo ya kuachana na mkeo sio buplic issue inakuhusu wewe so unakuja kumuanika hapa na tunaendelea kukudharau nakusii kama ulivyoachana na mkeo na kumsahau achana na uzi huu na uusahau.
 

- So ulianza vizuri sasa unaonyesha rangi yako ya kweli, Riz kama mimi anaishi nyumba ya NHC ambazo the promise ni kuja kuuziwa sasa ananichekaje mtu anakuona kiburudisho lakini mnaenda naye kwenye kampeni zake one on one anakuona kiburidsho anakukaribisha nyumbani kwake? Anakuona kiburudisho lakini anakuja mpaka ofisni kwako kuongea mambo muhimu ya kikazi hahahahaha pole sana, ok lets say anakuona wewe ni babu kubwa sana alishawahi kukukaribisha kwake na familia yake? please

- Tumekaaa kwenye ulevi almost Wasilam watupu mimi ndio Mkristo nimeagiza kitimoto ninatakuwa kufanya nini kula mbele yao au kusogea pembeni? ndio maana nasema nilidhani una hoja kumbe ni wale wale mburulazzzz now ukishasoma this niambie nani amekaa kikomedi komedi kati ya mimi na wewe? hahahahahahahahaha U know

Le Mutuz
 

- Ona mjinga mwingine huyu unakuwa kwenye Welfare ukiwa huna kazi, unasaidiwa na Serikali ya US ukiwa na mshahara mdogo kama my ex ni vitu viwili tofauti sana hahahahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…