Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo upande wowote.Ninyi nyote ni bibi na babu yangu.
Nashangaa babu unavofanya ivi, nilidhani una busara kidogo kuliko bibi.
Kama bibi kakosea kusema uongo, why keep doing the sane mistake ya kudisclose kuwa bibi alimwomba nyanya wewe umuoe?
Suprisingly enough babu na miakili mengi ukawa dragged kwenye ndoa? So hukumpenda au?
Huyu jamaa lemutuz yeye ndio anatapatapa hajui for sure mimi ni nani ninaandika ndio maana anamsingizia huyo mama watoyo wakr na yote inatokana na yeye kukosa busara na kutoamini kama kuna watu zaidu ya mkewe familia yake watajua mambo yake ya ndani, kama hii issue ya watoto wake kumkataa pale ukonga na yeye kulia kwenye gari ilikuwa wazi na yeye hajapinga pote na kila mtu anajua sasa sioni sababu ya yeye kumuandama yule mzazi mwenzie kwa maneno ninaandika mimi, huyu lemutuz ninamjua siku nyingi sana na hata leo tumeonana mitaani tukasalimiana kwa furaha lakini hajanijua kama mimi ndio natuma post hizi hapa, anatakiwa a grow up na aache utoto.
Hu

wewe mdada mbona umekomaa hivi na issue za le mutuz...? do u think unamuweza kweli...??? as long as u dont have facts utaaibika.
stay away from le mutuz le big show le man of people le king of all bongo social medias hahhahhahahhahahhah atakuabisha tu. :juggle:
Kwan marekan na bongo tumepishana masaa mangap kweli uyo mama Kama anafanyakazi ubalozi au Un apoteze mda kubishana hivyi mm nakataaa huyu atakuwa ni mtu wa Karib sna na lemutuz chunguza
- Please mimi nilikuwa New York na nikawa naandika kama nipo bongo anafuata nyayo tu kama huwezi kufikiri seriously kwa nini mnarukia trnei kwa mbele please let this woman keep on coming cause amenichafua kwa muda mrefu sana kwa pembeni now muache aje hapa in the open halafu anipe na mimi nafasi nimvue nguo hapa hamkukmbia wote hapa hahahahaha
- Nimekuonyesha mpaka picha ya mtu anayempelekea habari sasa unataka nini tena mkuu? hahahahahahah
Le Mutuz
ukishamvua nguo ndiyo iweje?
- Huenda itamsaidia kupata akili maana huoni kwamba anahitaji msaada maana mimi ninaamini sana THEORY YA JINO KWA JINO so relax it is coming soon!! yeye anasema uongo na uzushi sasa subiri mimi niamue kuweka ukweli hapa hahahahaha itakuwa kiama mkuu hahahahahah
Le Mutuz
Ila dougiemasta umemshindwa mkuu.
Ukiendelea kushindana na mjinga utaonekana mjinga.
Ungetukamatia yule mwehu dougiemasta ningeamini kuqa kweli uligoma kuinua mikono juu ya bastola ya jambazi .
Hili jamaa La ajabu Kweli Kweli unamuweka x wako kwenye mablog duu Yani wewe unamambo ya kike kweli
Ila dougiemasta umemshindwa mkuu.
Ukiendelea kushindana na mjinga utaonekana mjinga.
Ungetukamatia yule mwehu dougiemasta ningeamini kuqa kweli uligoma kuinua mikono juu ya bastola ya jambazi .
Zee wa mizinga
- sijawahi kupanik in my life hukuona ile show ya tv ya mboni show haya maswali yote yaliulizwa infact ninashukuru sana kupata this chance ya kujibu hizi tuhuma ambazo huyu mama amekuwa akieneza sana chini kwa chni sasa finally amezileta in the open it is good for me kuweka ukweli wazi,
- niliachana naye miaka 4 iliyopita na divorce official sasa analilia nini kama sio mamumivu hahahaa, mimi ndio le mutuz nation i am clean as i have ever been ndio maana simuogopi mtu na bring anything kama nimekosea nitasema ila kumuacha huyu mama sikukosea kabisa i was right 100% maana hata wewe unajionea malezi yake niambie anatokea kwenye familia ya namna gani? Hahahaha
le mutuz
Mkuu le mutuz unajua nimejikuta nasoma huu uzi mwanzo mwisho. Nimekubali hii akili kubwa inaelekea Invisible umem pm asiufute uzi au kuunganisha na mwingine. Ila nakushauri ujenge hata room na kaseble chako uache upoyoyo wa kukaa nyumba za kulala ukute kina Rizi wanakucheka kwa hilo life wanakuchukulia comedian flani ivi amaizing ukikaa nao ni kama kiburudisho. Imagine umeenda kununua nguruwe ukaenda kukaa pembeni unakula. Huoni umekaa kikomedi komedi mkuu.
Le mutuz Ndo zake kuwakisia watu anawafamu, kuna member hapa alikuwa anaitwa Kuhani, yaani le mutuz alimkomaliaga kuhani Kuwa ni Kaka wa Mke wake,sijui wamepanga kumchafua. Ila nia aibu wajukuu wa makamu wa kwanza wa Raisi Kuwa kwwnye welfare USA, welfare huwa wanaliopwa familia zinazoishi marekani legal,au wamarekani maskini, ili kuondoa pengo kati ya tajiri na maskini. Le mutuz ni aibu wanao mkeo na wanao Kuwa kwenye welfare wakati wewe Baba yao una AKILI KUBWA kama unavyodai